Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
HahahaWatu wapo katika cult ila wao wanadhania ni utukufu.
Wajinga ndio waliwao, wapumbavu ndio wapotezwao
Huna hojaMmeanza sasa mambo yenu,sio kwamba hatuna majibu,ila tutaendekeza ujinga
SawaHuna hoja
Kwani kuuliza ni ubaya?Sawa
🧠=💩Sawa
Mmeanza ujinga wenu wa mada mada za kuleta ***** ***** kuhusu uislamuKwani kuuliza ni ubaya?
Acha wenye majibu waje.
Tofauti ipoKwani bibilia ilishushwa kwa lugha ya kichaga
Mmeanza ujinga wenu wa mada mada za kuleta ***** ***** kuhusu uislamu
Sijashangaa Qur’an kushuka kwa lugha moja, nimeuliza kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote ufungwe kwenye lugha moja.Hatushangai Suala la kutaka Quran iwe katika lugha nyingi maana hata Mungu mmefanya yupo katika utatu🤣🤣.Yan Mungu mmeona hajitoshelezi peke ake ndo mtaikubali Quran.Mbona ww hutak mke wako awe wa wanaume wengi😅😅.Bata maji