Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
- Thread starter
-
- #21
Kama mimi ni kafiri kwa mtazamo wako wa kidini, hilo halijibu swali nililouliza.Makafir bwanaaaa
Kwanini umeona swali langu si la hoja?Covax anajenga hoja na kuleta mifano,nyie ni ujinga tu umewajaa,nikiamua kukujibu hapa nakukalisha dk 0 tu,ila sitaki kuendekeza ujinga
Tukiwajibu ndio kama tutawafungulia mjaze nyuzi za namna hii
Watu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote uwe umefungwa kwenye lugha moja?
- Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
- Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
- Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu
- WHY?
Naelewa, nimeamua kichombeza tu kuwa ilishuka.Na wewe unadanganyika na hizo story? Quran ilishuka kutoka wapi, wakati ameanfikwa baada hata ya huyo aliyedai kuwa alitokewa na shetani, akiwa tayari amekufa?
Mohamed anasema alitokewa na shetani, baadaye akamwambia siyo shetani bali malaiki Jibril. Huyo aliuemtokea Mohamed, Mohamed mwenyewe anasema aliambiwa aandike, yeye akamjibu kuwa mbona yeye hajui kusoma wala kuandika? Baada ya hapo, huyo shetani aliyegeuzwa baadaye kuitwa malaika akawa anampa maelekezo, Mohamed anaenda kuwasimlia rafiki zake wanaojua kuandika. Iliendelea hivyo kwa miaka 23. Baada ya kufa kwake, wakatokea watu wakakusanya hizo story zilizokuwa zimeandikwa kwenye karatasi tofauti tofauti, na kisha kyziweka pamoja.
KWA HIYO UJUE KABISA HABARI YA KUSEMA QURAN ILITEREMSHWA, NI MANENO YA MATAPELI, kupitia mlango wa imani. Na wamewaokota wengi. Shetani aliyemtokea Mohamed, halafu baadaye tena Mohamed akamsilimisha hiyo shetani, amewaokota wengi, na anaendelea kuwaokota wengi kuwaweka kwenye utawala wake wa giza. Yaani Mohamed alifanikiwa kutengeneza umoja kati ya shetani, majini, yeye binafsi na wafuasi wake.
Nilichombeza tu mkuuIlishuka kivipi mkuu ? yani haikuandikwa na binadamu na wala haikuchapishwa?
Kwa nini Qur’an ilishuka kwa Kiarabu
- Lugha ya watu waliopokea kwanza
- Qur’an ilitolewa kwa Mtume Muhammad (SAW) na watu wa Arabia waliokuwa wakuu wa kwanza kusoma na kuelewa.
- Ujumbe kwa binadamu wote
- Qur’an ni kwa watu wote, si tu Waarabu. Tafsiri zake katika lugha zote zinafanya ujumbe upatikane kwa kila mtu.
- Sifa za Kiarabu
- Kiarabu kina maneno yenye fasihi, kinaweza kueleza maana nyingi kwa kifupi, na huleta hisia na maana za kina ambazo zinafaa kwa maandiko ya kiroho.
- Upeo wa Qur’an unazidi Kiarabu
- Kiarabu ni lugha ya maandiko ya asili, lakini tafsiri na elimu yake kwa lugha nyingine hubadilisha ujumbe uwe wa ulimwengu mzima.
Kwa ufupi : Qur’an ilishuka kwa Kiarabu kwa sababu hiyo ilikuwa lugha ya watu wa kwanza waliopokea ujumbe, lakini ujumbe wake ni kwa binadamu wote kupitia tafsiri na ufahamu wa ulimwengu mzima.

Yani haya uliyoandika hapa ndio madhara yanayotokea endapo kitabu Cha Mungu Kila mtu atakisoma Kwa lugha yakeSijashangaa Qur’an kushuka kwa lugha moja, nimeuliza kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote ufungwe kwenye lugha moja.
Kuhusu Utatu, Ukristo haufundishi miungu watatu wala Mungu kutokujitosheleza. Unafundisha Mungu mmoja mwenye udhihirisho tofauti, si wake wengi.
Mke kuwa na wanaume wengi ni mfano wa kimwili, lakini Mungu si kiumbe wa kimwili ili alinganishwe na ndoa.
Hebu turudi kwenye swali:
👉 Kama Uislamu ni kwa watu wote, kwa nini ibada na Qur’an halisi iwe lazima kwa Kiarabu?
Watu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote uwe umefungwa kwenye lugha moja?
- Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
- Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
- Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu
- WHY?
Hata ingeshuka kwa Kikwenu pia bado ungeuliza why imeshuka Kikwenu,Nikuulize kwani Biblia ilishuka na lugha nyingi nyingi au lugha Moja Tu?halafu wengine wakaigeuza kwa lugha zao na kuzibadilisha kwa maaganano tofauti tofauti HUKU wakipunguza au kuongeza baadhi ya vitu from the original versesWatu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote uwe umefungwa kwenye lugha moja?
- Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
- Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
- Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu
- WHY?
Yani haya uliyoandika hapa ndio madhara yanayotokea endapo kitabu Cha Mungu Kila mtu atakisoma Kwa lugha yake
Ukiwachukua wakristo 10 ukiwauliza Yesu ni nani kwako Kila Mmoja atatoa jibu lake
Wayahudu waliovisoma hivyo vitabu Kwa lugha Yao ya manabii ukiwambia hivyo vitabu vinasema Mungu wapo 3 au sijui ana nafsi 3 watakushangaa
Faida ya kwanza
Chuku waislam milioni 10 Dunia mzima waulize
Allah ni nani
watakuambia ni Mungu wa pekee aliyeumba mbingu na nchi
Muhammad ni nani
Watakuambia ni mtume wa Mungu
Yesu ni nani
Watakuambia ni mtume Kwa ajili ya Wana wa Israel
Atakayetoa majibu tofauti na hayo tunarudi katika katika original language
Faida ya pili
Muislam akienda popote duniani akiingia ndani ya msikiti anajiona kama yupo nyumbani maana lugha ya Ibada ni Moja
Faida ya tatu
Kila mwaka waislam kutoka duniani kote wanakutana maka kufanya Ibada ya Hija vipi kama ingekuwa wakikusanyika maka Kila Mmoja afanye Ibada Kwa lugha yake?
Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na waliona Ili wakuingize chaka vizuri wakuleteeni vitabu Kwa lugha zao
Sasa Si ipinge hiyo hoja unakoroma na kutapika tu ChartGtp si tafuta huko kanisani kwenu ,muulizie hata kardinal wako akusaidie unaogopa kitu gani. ? Ukristo hautoboi popote ni utapeli tuIla jamaa una tag sana ubavu wa Chat gpt.
Mara nyingne ni muhim kujibu hoja kwa kutumia uelewa wako . Sio kila hoja unaandikiwa na robot.
Sasa Si ipinge hiyo hoja unakoroma na kutapika tu ChartGtp si tafuta huko kanisani kwenu ,muulizie hata kardinal wako akusaidie unaogopa kitu gani. ? Ukristo hautoboi popote ni utapeli tu
Ni kweli. Tokanana na ufinyu wa welewa, watu wote hapa wanaolengwa ni waarabu. Hata ukisoma dunia wakati wa agano jipya, ni Israel, Iraq, Iran, Syria na Misri. Sababu ni ile ile. Kumbuka Yesu alisema alikuja kwa koo 12 za Israel. Aliwalinganisha wasio wake na mbwa. Leo, Yesu na Mohamed wakilrudi watashangaa sana kuona wamakonde waislam au wakristo. Ataelewa pale atakapojuzwa kuwa ujumbe wake haukueleweka.Watu wenge duniani hawajui kiarabu