Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Jibu kama ulivyoandika!Kikwete aliacha deni kiasi gani na JPM ndani ga miaka mitano deni amelikuza kwa kiwango gani?Deni la taifa ni 27% ya pato la taifa.
Deni ni himilivu sana kwa sababu ukomo wa kukopa ni 70% ya pato la taifa!
Hakika mkuu!Anastahili mitano mingine
Google BOT wana data.Hivi 2015 tsh to us ilikuwa bei gani kulinganisha na sasa?
Hivi ile milion50 ya michango mbowe aliyochukua kienyeji vip mwenyekiti wenu amesha irefund?
Pato lako lime ongezeka?unawambiaje wananchi kuwa Pato limeongezeka wakati physically on the ground umaskin unawaelemea mpaka wanaishi kwa mlo mmoja?Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kama hutaki kufanya kazi hakuna mtu atakayekuwekea fedha mfukoni. Wengi wanaolialia walikuwa wanategemea pesa bila kufanya kazi, imekula kwenu.Pato lako lime ongezeka?unawambiaje wananchi kuwa Pato limeongezeka wakati physically on the ground umaskin unawaelemea mpaka wanaishi kwa mlo mmoja??
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Huyo arudi kwao akajifunze kuendesha ndege awe anatua nayo nyumbani kwakeKiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Twambie na deni la taifa limefika kiasi gani? Soon ajila Lumumba inakufa lisu akichukua nchi, kwa tetesi nasikia majengo yote ya ccm yatataifishwa ndani ya siku 20 nani atawalipa na huo upuuzi?Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Utamjua ukirudi jalalani, soon Lumumba litakuwa jengo la ummaLisu yupi wa kuchukua nchi?!
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Duniani kote kuna uchumi wa jumla na uchumi wa mtu mmoja mmoja!Huwa kuna uchumi wa serikali na uchumi wa wananchi, kwa nchi masikini hivyo huwa ni vitu viwili tofauti
Kumbe mnalitamani?Utamjua ukirudi jalalani, soon Lumumba litakuwa jengo la umma
Uchumi wa jumla unatokana na uchumi wa mtu mmoja mmoja, ukijumlisha unapata jumlaDuniani kote kuna uchumi wa jumla na uchumi wa mtu mmoja mmoja!
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Soon utakua jalalani sijui utauza ice cream ama utakuwa unapiaga tololiKumbe mnalitamani?
Jengeni pale Ufipa!
Umekuwa wa kati!Tuanze na kwako uchumi umekua kiasi gani?