Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

Deni la taifa ni 27% ya pato la taifa.

Deni ni himilivu sana kwa sababu ukomo wa kukopa ni 70% ya pato la taifa!
Jibu kama ulivyoandika!Kikwete aliacha deni kiasi gani na JPM ndani ga miaka mitano deni amelikuza kwa kiwango gani?
 
Wewe mataga wa kijani kibichi na wenzako Kuna salami zenu huku mjipongeze uchumi wa kati sure vipi mataga , we are on the right track .
IMG_20200925_214828.jpg
IMG_20200925_214841.jpg
 
Sawa! Alisema pia Polepole leo akiwa na waandishi! Uchumi wa kati. Tupongezane sana!
 
UZUSHI wa maccm CAG kakagua financial statements za Chadema hakuona wizi wowote na kutoa clean ripoti.

Hivi ile milion50 ya michango mbowe aliyochukua kienyeji vip mwenyekiti wenu amesha irefund?
 
Pato lako lime ongezeka?unawambiaje wananchi kuwa Pato limeongezeka wakati physically on the ground umaskin unawaelemea mpaka wanaishi kwa mlo mmoja??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kama hutaki kufanya kazi hakuna mtu atakayekuwekea fedha mfukoni. Wengi wanaolialia walikuwa wanategemea pesa bila kufanya kazi, imekula kwenu.
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Twambie na deni la taifa limefika kiasi gani? Soon ajila Lumumba inakufa lisu akichukua nchi, kwa tetesi nasikia majengo yote ya ccm yatataifishwa ndani ya siku 20 nani atawalipa na huo upuuzi?
 
Huwa kuna uchumi wa serikali na uchumi wa wananchi, kwa nchi masikini hivyo huwa ni vitu viwili tofauti
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
 
Back
Top Bottom