Kama Rais Samia ameweza kufanya kwa Wakuu wa Mkoa, kwanini hakufanya kwa Mawaziri?

Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba inazungumzia makamu wa rais akichukuwa nafasi ya rais baada ya mwenye nacho kufariki apendekeze jina la waziri mkuu. Labda pendekeza upelekwe mswada kufanya mabadiliko ya sheria kwa kulingana na changamoto iliyojitokeza.
 
Kwa sababu yeye ni Rais wa Tanzania na anaweza kufanya chochote.
 
Jibu hoja acha kurukaruka, mbona ulikuwa hauulizi maswali CRITICAL ya namna hii?

Natanguliza shukrani zangu kwako Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…