king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Ila ni kama kweli kwa sababu now days kigogo mbona hasikiki,Mwendazake akili nyingi sana yule bwana. Muache apumzike kwa amani. Aliyaona yote hayo kwamba hawa wote ni wapiga madili tu akawapiga pembeni. Wakaunda kikundi cha kumsema kwa jina la kigogo. Mtanikumbuka. #KATIBA MPYA#
Acheni kila mtu apige anavyoweza, mkiwapiga SG tukae kimya, mkiwapiga old skuli waliorudi tukae kimya how ?.Siasa ni strategy,kuna waajiriwa wa Kalemani wachache mtandaoni ambao wameanzisha upepo ambao unasomba na watu wengine wanahangaika na Makamba ilihali hawajui nini kinaendelea Nyuma ya pazia.
Mkuu unaongea kutokea upande upi wa nchiWananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati na Madini kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.
Upo ushahidi wa wazi na kimazingira January Makamba amezembea na kuhujumu mradi wa JNHP maana alileta zengwe la krane mpaka kuchepusha maji kukakwama.
Sasa hivi amegeuza Tanesco kama mradi wake wa kupiga madili yeye na Maharage Chande kila kukicha ni matengenezo yasiyoisha na kuingia mikataba ya ajabuajabu na Mahindra Tech.
Huyu mwingine anaitwa Nape anatumia madaraka vibaya na kusababisha upotevu wa pesa za umma ambazo zingetumika kwa manufaa ya umma. Anazunguka nchi nzima na helikopta kwenda kupaka rangi vibao vya mitaani. Huu ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa.
Mama sababu unapaswa kushaurika. Sikia kilio cha Watanzania na wafute kazi hawa mawaziri wawili ukiwa huko huko USA.
Nipo Buza.Mkuu unaongea kutokea upande upi wa nchi
Hakuna wizara ya Nishati na MadiniWananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati na Madini kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.
Upo ushahidi wa wazi na kimazingira January Makamba amezembea na kuhujumu mradi wa JNHP maana alileta zengwe la krane mpaka kuchepusha maji kukakwama.
Sasa hivi amegeuza Tanesco kama mradi wake wa kupiga madili yeye na Maharage Chande kila kukicha ni matengenezo yasiyoisha na kuingia mikataba ya ajabuajabu na Mahindra Tech.
Huyu mwingine anaitwa Nape anatumia madaraka vibaya na kusababisha upotevu wa pesa za umma ambazo zingetumika kwa manufaa ya umma. Anazunguka nchi nzima na helikopta kwenda kupaka rangi vibao vya mitaani. Huu ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa.
Mama sababu unapaswa kushaurika. Sikia kilio cha Watanzania na wafute kazi hawa mawaziri wawili ukiwa huko huko USA.
Nani kasema hivyo?Hakuna wizara ya Nishati na Madini
Nyie wafuasi wa fisadi dikteta,hamna la kumshauri Rais mbwwwwwwa nyie,wanafiki wakubwa,Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.
Upo ushahidi wa wazi na kimazingira January Makamba amezembea na kuhujumu mradi wa JNHP maana alileta zengwe la krane mpaka kuchepusha maji kukakwama.
Sasa hivi amegeuza Tanesco kama mradi wake wa kupiga madili yeye na Maharage Chande kila kukicha ni matengenezo yasiyoisha na kuingia mikataba ya ajabuajabu na Mahindra Tech.
Huyu mwingine anaitwa Nape anatumia madaraka vibaya na kusababisha upotevu wa pesa za umma ambazo zingetumika kwa manufaa ya umma. Anazunguka nchi nzima na helikopta kwenda kupaka rangi vibao vya mitaani. Huu ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa.
Mama sababu unapaswa kushaurika. Sikia kilio cha Watanzania na wafute kazi hawa mawaziri wawili ukiwa huko huko USA.
MomWananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.
Upo ushahidi wa wazi na kimazingira January Makamba amezembea na kuhujumu mradi wa JNHP maana alileta zengwe la krane mpaka kuchepusha maji kukakwama.
Sasa hivi amegeuza Tanesco kama mradi wake wa kupiga madili yeye na Maharage Chande kila kukicha ni matengenezo yasiyoisha na kuingia mikataba ya ajabuajabu na Mahindra Tech.
Huyu mwingine anaitwa Nape anatumia madaraka vibaya na kusababisha upotevu wa pesa za umma ambazo zingetumika kwa manufaa ya umma. Anazunguka nchi nzima na helikopta kwenda kupaka rangi vibao vya mitaani. Huu ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa.
Mama sababu unapaswa kushaurika. Sikia kilio cha Watanzania na wafute kazi hawa mawaziri wawili ukiwa huko huko USA.
Wana chuki Sana Hawa wapumbavu wasiojielewaWakati wa Magufuli kulikuwa na viongozi majambazi na walionekana hadi kwenye kamera za kiusalama lakini pamoja na wananchi kutaka waondolewe madarakani bado Magufuli aliwalinda lakini haukuliona hilo ndio unaliona hili la Makamba.
Hii yote ni kwa sababu ya chuki ulizonazo kuanzia kwa Rais mwenyewe hadi hao wasaidizi wake.
NdiyoKuna waziri ambaye hajawahi kuwa mzigo nchi hii
Bongo hii sawaNdiyo
Waziri wa zamani wa wizara ya ardhi
Roho ya kimasikini inakutafunaAngeenda na bajaj wasingefanya kazi?
Wewe umezidi kuwaandama hao mawaziri. Hakuna cha kuwa mizigo bali chuki zako tu. Mwaka huu utaugua pressure ndugu.Kwa hiyo hata wakizingua waachwe tu?