Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

Mwendazake akili nyingi sana yule bwana. Muache apumzike kwa amani. Aliyaona yote hayo kwamba hawa wote ni wapiga madili tu akawapiga pembeni. Wakaunda kikundi cha kumsema kwa jina la kigogo. Mtanikumbuka. #KATIBA MPYA#
Ila ni kama kweli kwa sababu now days kigogo mbona hasikiki,
 
Siasa ni strategy,kuna waajiriwa wa Kalemani wachache mtandaoni ambao wameanzisha upepo ambao unasomba na watu wengine wanahangaika na Makamba ilihali hawajui nini kinaendelea Nyuma ya pazia.
Acheni kila mtu apige anavyoweza, mkiwapiga SG tukae kimya, mkiwapiga old skuli waliorudi tukae kimya how ?.

Kaharibu apishe!
 
Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati na Madini kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.

Upo ushahidi wa wazi na kimazingira January Makamba amezembea na kuhujumu mradi wa JNHP maana alileta zengwe la krane mpaka kuchepusha maji kukakwama.

Sasa hivi amegeuza Tanesco kama mradi wake wa kupiga madili yeye na Maharage Chande kila kukicha ni matengenezo yasiyoisha na kuingia mikataba ya ajabuajabu na Mahindra Tech.

Huyu mwingine anaitwa Nape anatumia madaraka vibaya na kusababisha upotevu wa pesa za umma ambazo zingetumika kwa manufaa ya umma. Anazunguka nchi nzima na helikopta kwenda kupaka rangi vibao vya mitaani. Huu ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa.

Mama sababu unapaswa kushaurika. Sikia kilio cha Watanzania na wafute kazi hawa mawaziri wawili ukiwa huko huko USA.
Mkuu unaongea kutokea upande upi wa nchi
 
Hakuna wizara ya Nishati na Madini
 
Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.

Nyie wafuasi wa fisadi dikteta,hamna la kumshauri Rais mbwwwwwwa nyie,wanafiki wakubwa,

Endeleeni kumtukana tu Rais,Hana Muda kupokea ushauri wenu kkkkenge nyie
 
Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za maisha zingepungua.

Upo ushahidi wa wazi na kimazingira January Makamba amezembea na kuhujumu mradi wa JNHP maana alileta zengwe la krane mpaka kuchepusha maji kukakwama.

Sasa hivi amegeuza Tanesco kama mradi wake wa kupiga madili yeye na Maharage Chande kila kukicha ni matengenezo yasiyoisha na kuingia mikataba ya ajabuajabu na Mahindra Tech.

Huyu mwingine anaitwa Nape anatumia madaraka vibaya na kusababisha upotevu wa pesa za umma ambazo zingetumika kwa manufaa ya umma. Anazunguka nchi nzima na helikopta kwenda kupaka rangi vibao vya mitaani. Huu ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa.

Mama sababu unapaswa kushaurika. Sikia kilio cha Watanzania na wafute kazi hawa mawaziri wawili ukiwa huko huko USA.
Mom
Hiyo inaitwa timu ushindi.
 
Wakati wa Magufuli kulikuwa na viongozi majambazi na walionekana hadi kwenye kamera za kiusalama lakini pamoja na wananchi kutaka waondolewe madarakani bado Magufuli aliwalinda lakini haukuliona hilo ndio unaliona hili la Makamba.
Hii yote ni kwa sababu ya chuki ulizonazo kuanzia kwa Rais mwenyewe hadi hao wasaidizi wake.
Wana chuki Sana Hawa wapumbavu wasiojielewa
 
Cha ramli chonganishi.. January anachapa kazi na umeme haukatiki... Suala la miradi ni miradi ya one Man show sahii ni kusikilizana... Na lazima Budget ipitishwe sio kipindi cha kujipatia sifa binafsi... Kuchota chota hela hovyo..

Bunge likae lipange mambo yake .. zaidi zaidi ni chuki na roho mbaya zinakusumbua
 
Nafasi walizo nazo wamezawadiwa kutokana na majina ya wazazi wao,si kwa ajili ya kuitumikia nchi kwa usahihi hata kama wakivurunda hakuna shida.
 
Back
Top Bottom