Nani mkuu wa dola la Tanzania? Mamlaka yake yana ukomo?Duuh kweli umevurugwa mkuu,
Rais wa Zanzibar ndio mwenyeji wa tukio kwa siku ya leo hivyo ana heshima hiyo ya kutangulia.
Hata hivyo sio ajabu kwani tumekua tukifanya hivyo miaka yote.
... kwani sherehe za mapinduzi ya Zanzibar ni za dola la Tanzania? Halafu sina kumbukumbu ya hizi shughuli za mapinduzi kuhudhuriwa na rais mwingine yeyote tofauti na marais hao wawili! KATIBA, KATIBA, KATIBA!Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Ilipaswa na Tanganyika iwe na Rais wake kama ilivyo Zanzibar.Zanzibar ni nchi huru na ina Rais wake ambaye amepigiwa kura* hata kama hazikutosha.
Au pangekuwepo na Rais mmoja tu.Ilipaswa na Tanganyika iwe na Rais wake kama ilivyo Zanzibar.
watu wamechafukwaUvunjwe mkuu hauna maana yoyote faida za muungano wanazijua watawala pekee
... hata wewe ukiwa na shughuli kwenye "boma lako" ukimwalika rais kama ana nafasi, among other parameters, atakuhudhuria; marais wetu ni waungwana sana. Hii haimaanishi kufika kwake ndio atakuwa mkuu wa "boma lako"; kuna issues ndani ya "boma lako" ziko chini ya mamlaka yako kama mkuu wa boma hata rais hawezi kuziingilia acha kuuza utu wako!Nani mkuu wa dola la Tanzania? Mamlaka yake yana ukomo?
Haibadilishi chochote mantiki ni vile ZNZ ndo muhusika katika tukio, Maoni yangu.Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Rais wa Tanzania akiwa Visiwani anakuwa ni mgeni wa Rais wa Zanzabar ... Hii ndiyo katiba yetu bomu inavyosema.Who is the head of state?
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Uendapo nyumbani kwa "jamaa" yako usiwe wa kwanza kuchukua nyama.Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Matusi ya nini sasa?Mbona una hasira hivyo utadhani sidiria zako zimeibwa?Au hupendi kupewa majibu ya swali lako?πππPumbavu huna akili. Yaani utawala wa rais unauhusisha na kukwapua nyama. Pumbavu kabisa.
Chini sanaaa very lowZanzibar ni Nchi Mkuu,
Umeshalewa mdindifu saa hizi mapema hivi?ππππShenzi type
The head of state where? If Zanzibar, definitely His excellency Dr Mwinyi is the head there.Who is the head of state?
Safari hii zamu yenu kulalamikaHiki kisiwa ni kero tu kwa kweli kimeinyonya sana Tanganyika