Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

Duuh kweli umevurugwa mkuu,

Rais wa Zanzibar ndio mwenyeji wa tukio kwa siku ya leo hivyo ana heshima hiyo ya kutangulia.

Hata hivyo sio ajabu kwani tumekua tukifanya hivyo miaka yote.
Nani mkuu wa dola la Tanzania? Mamlaka yake yana ukomo?
 
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.

Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?

Msaada kwenye tuta.
... kwani sherehe za mapinduzi ya Zanzibar ni za dola la Tanzania? Halafu sina kumbukumbu ya hizi shughuli za mapinduzi kuhudhuriwa na rais mwingine yeyote tofauti na marais hao wawili! KATIBA, KATIBA, KATIBA!
 
Nani mkuu wa dola la Tanzania? Mamlaka yake yana ukomo?
... hata wewe ukiwa na shughuli kwenye "boma lako" ukimwalika rais kama ana nafasi, among other parameters, atakuhudhuria; marais wetu ni waungwana sana. Hii haimaanishi kufika kwake ndio atakuwa mkuu wa "boma lako"; kuna issues ndani ya "boma lako" ziko chini ya mamlaka yako kama mkuu wa boma hata rais hawezi kuziingilia acha kuuza utu wako!
 
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.

Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?

Msaada kwenye tuta.
Haibadilishi chochote mantiki ni vile ZNZ ndo muhusika katika tukio, Maoni yangu.
 
Who is the head of state?
Rais wa Tanzania akiwa Visiwani anakuwa ni mgeni wa Rais wa Zanzabar ... Hii ndiyo katiba yetu bomu inavyosema.

Ndiyo maana Magufuli alikuwa hahudhurii hizo sherehe.....!!
 
Zanzibar ni Nchi Mkuu,
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.

Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?

Msaada kwenye tuta.
 
Nyie watoto mlopata F ya civics hamna adabu kabisaaa
 
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.

Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?

Msaada kwenye tuta.
Uendapo nyumbani kwa "jamaa" yako usiwe wa kwanza kuchukua nyama.
 
Pumbavu huna akili. Yaani utawala wa rais unauhusisha na kukwapua nyama. Pumbavu kabisa.
Matusi ya nini sasa?Mbona una hasira hivyo utadhani sidiria zako zimeibwa?Au hupendi kupewa majibu ya swali lako?😝😝😝
 
Zanzibar ni Nchi Mkuu,
Chini sanaaa very low
Yaani mtu mzimaa yupo JF anafundishwa kuwa Zanzibar ni Nchi. Ina maana hata Muungano hajui ni kitu gani! Inawezekana anafikiri Muungano ni wa mikoa Dar ,Singida,Arusha, Mwanza.
Ndio maana unakuta watu wanachukua idadi ya watu kuwa hoja dhidi ya Zanzibar .
 
Back
Top Bottom