The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kumbuka hawa ndo top figures.hadi kwenye kampeni za CCM huku nyimbo.zao zimejaa matusi tupu.Tatizo la maadili nchi hii halitatuliwa kwa kuchagua watu wa kuwalaumu
Hao Zuchu na diamond unalaumu nao ni matokeo ya mfumo ulioharibika kitambo
Kurekebisha ni jamii nzima kukubali kuwa responsible of which ni ngumu kuwezekana
Ukweli mtupu, Nilishangaa kabudi.anasema singeli ni nembo ya Tanzania jinga sana.Ukichunguza kizazi cha miaka ya 2000 ndio kilianza kujengwa na bongo fleva hapo ndipo bomu lilipoanza kutegwa na sasa limelipuka.
Mimi ningekua Rais wa nchi hii watu wakwanza kwenda magereza ni Hawa wasanii wanao imba ushenzi na kuharibu jamii.
Ningewafunga wote wametuharibua jamii na utanzania wetu.
Sisi zamani tulikuwa tuna sikiliza Nyimbo mardadi kabisa.
Lakini sasa hivi Nyimbo za chumbani zinaimbwa sebuleni mbele ya watoto na serikali imefumbia machotu.
Ni shida ila maadili yalianza kuporomoka miaka Mingi Sasa ndio kama unavyoona kina uncle nani wanapata coverage kubwa kuliko mambo ya msingiKumbuka hawa ndo top figures.hadi kwenye kampeni za CCM huku nyimbo.zao zimejaa matusi tupu.
Juzi serikali imekusanya mashoga kwenda kumpokea jihan unategemea nini?
Hii hapa nyingineHio video ni moja tu
Nimeona video za hao madogo kama 40 hivi , ni hatari😂😂😂
Tulidhani hawa madogo watakuwa purity hawajatumika kama hawa ila kwa hapa hakuna bikra😂😂😂Hii hapa nyingine
View attachment 3699597
Kwahiyo mnataka kutuaminisha kuwa hao watoto ni washenzi kuliko walioua watanganyika Oct 29Tanzania tunajumbatia vitu vya kipumbavu sana matokeo yake ndo haya sana.
1. Roll model ni wasanii hadi.wanaalikwa kuwa wageni rasmi kwenye graduations.
2. Mpira wa Simba na Yanga ndiyo kipaumbele cha wanasiasa kuwapumbaza watu ujinga.mtu.
3..Wanasiasa wenyewe hawasomwshi watoto wao katika shule hizi. siku hizi hata walimu watoto wao hawasomi kayumba.
4. Hii ni sample tu lakini kuna uchafu mwingi sana katika shule hizi za kayumba.
5. Halafu hizi alama za kunusa kidole wanakuwa na maana gani?
View attachment 3699557
Tuliposema maadili ya watoto yanamomonyoshwa na wasanii wa kizazi kipya tuliambiwa tunaaibisha nchiTanzania tunajumbatia vitu vya kipumbavu sana matokeo yake ndo haya sana.
1. Roll model ni wasanii hadi.wanaalikwa kuwa wageni rasmi kwenye graduations.
2. Mpira wa Simba na Yanga ndiyo kipaumbele cha wanasiasa kuwapumbaza watu ujinga.mtu.
3..Wanasiasa wenyewe hawasomwshi watoto wao katika shule hizi. siku hizi hata walimu watoto wao hawasomi kayumba.
4. Hii ni sample tu lakini kuna uchafu mwingi sana katika shule hizi za kayumba.
5. Halafu hizi alama za kunusa kidole wanakuwa na maana gani?
View attachment 3699557
Du aisee hii mpya ndo Nimeielewa leo. Kama ndo ivyo basi hawa watoto ni washenzi wa tabiaKaka hiyo kutumia vidole kupitisha puani, kama ushawahi Kukaa na mateja au wavuta unga hua wanapangusa pua sana, ni dalili mbaya ukimuona mtu anapangusa pua na hana mafia kaa chonjo sana, karibu kuchunguza mateja wanacho Fanya hawa watoto wanapiga hawajui mana yake walio anzisha hiyo ni WA heza kibao kata wale madada ndio zao ila wao ni wavutaji kabisa wanawakilisha familia hawa watoto huenda ndio stage inayo fata
Crew ile ya MBAGALA kibao kata, TikTok kule wapo na insta ndio waanzilishi, sasa juzi waneachoa video wanavuta weed, wanatukana balaa, hao ndio waanzilishi wa hiyo staili Ina mana hawa mabinti kituo kinacho fataDu aisee hii mpya ndo Nimeielewa leo. Kama ndo ivyo basi hawa watoto ni washenzi wa tabia