Kama roll model wa Tanzania ni Zuchu na Diamond acha watoto wawe na Tabia hizi za Kishenzi

Kama roll model wa Tanzania ni Zuchu na Diamond acha watoto wawe na Tabia hizi za Kishenzi

Kumbuka hawa ndo top figures.hadi kwenye kampeni za CCM huku nyimbo.zao zimejaa matusi tupu.

Juzi serikali imekusanya mashoga kwenda kumpokea jihan unategemea nini?
Msipotaja Mashoga basi hamridhiki kabisa, Lol.
Na mmeambiwa huko Tanzania inalinda na kutunza na kuheshimu haki za binadamu.
😂😂😂
 
Msipotaja Mashoga basi hamridhiki kabisa, Lol.
Na mmeambiwa huko Tanzania inalinda na kutunza na kuheshimu haki za binadamu.
😂😂😂
Hutaki kabisa mashoga watajwe?
 
Ukichunguza kizazi cha miaka ya 2000 ndio kilianza kujengwa na bongo fleva hapo ndipo bomu lilipoanza kutegwa na sasa limelipuka.

Mimi ningekua Rais wa nchi hii watu wakwanza kwenda magereza ni Hawa wasanii wanao imba ushenzi na kuharibu jamii.

Ningewafunga wote wametuharibua jamii na utanzania wetu.

Sisi zamani tulikuwa tuna sikiliza Nyimbo mardadi kabisa.

Lakini sasa hivi Nyimbo za chumbani zinaimbwa sebuleni mbele ya watoto na serikali imefumbia machotu.

Hao wasanii wanaoimba nyimbo za kishenzi ndiyo wafuasi no 1 wa chama chetu pendwa
 
Kaka hiyo kutumia vidole kupitisha puani, kama ushawahi Kukaa na mateja au wavuta unga hua wanapangusa pua sana, ni dalili mbaya ukimuona mtu anapangusa pua na hana mafia kaa chonjo sana, karibu kuchunguza mateja wanacho Fanya hawa watoto wanapiga hawajui mana yake walio anzisha hiyo ni WA heza kibao kata wale madada ndio zao ila wao ni wavutaji kabisa wanawakilisha familia hawa watoto huenda ndio stage inayo fata
Wala hawana maana hio unayoifikiria wewe wale wana maana nyingine kabisa michezo michafu ya ngono hio wakijipiga vidole hua wananusa km ulikua haujui umejua
 
Back
Top Bottom