Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

Arya Stark

Senior Member
Joined
Dec 1, 2025
Posts
147
Reaction score
253
Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,

Wakenya walipata sapoti ya Media,

Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,

Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,

Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.

Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.

Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?

hq720.jpg
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Hii inawezekana kweli? kuna chama chochote cha siasa Afrika ambacho kimewahi kuwekwa kwenye list ya terrorsit organizations?
 
In business we say , you don't paid what you deserve but you paid what you negotiate.

Kabla haujaamua kuandamana fikiria matokeo na sio kuamini kuwa ur so exceptional .

Kuna kuuliwa
Kuna kukamatwa
Kuna kupewa ulemavu
Kuna kuwekwa kizuizini.

So if you can't pay the price don't dive on this shit !
 
Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,

Wakenya walipata sapoti ya Media,

Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,

Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,

Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.

Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.

Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?

View attachment 3516262
Wakenya GenZ wana akili kuliko Watanzania GenZ. Hawakuharibu miundombinu ya umma kama Mahakama, mwendokasi, TRA na Mahakama.

Sanasana walidokoa kidogo mali za watu.

Sasa haya maGenZ ya Tanzania mamburura yameishia kuchezea risasi tu
 
Back
Top Bottom