Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

Tuliwaambia nyie mliokuwa mnahamasisha maandamano na kutoa wrong information ndo mnabidi kushtakiwa .

There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
I discuss using logic not anger or labels.
At this point, I reserve the right to remain silent.
 
Huu pia ni uongo

Hamjapora uchaguzi October 29

Je December 9 Nanyinyi machawa hamjawekwa lockdown

Je dictator Samia Suluhu Hassan ajajipachika madarakani kwa kumwaga damu

Je dictator Samia Suluhu Hassan japo anasema kashinda kwa asilimia 97.66 mbona alijiapisha vichochoroni,kwanini hakuapishwa public, umma ufurahie ushindi wake wa kishindo??

Je October 29,hamkuuwa wananchi wasio na siraha elfu 23 plus

Bado kiburi kikawajaa mkateka vijana mkaanza kuwashoot vichwa mmoja mmoja kwa machine gun,bado tena mkawafukia kama kuku walio kufa na kideli au ng'ombe waliokufa na kimeta,na jinsi ukatili ndiyo desturi yenu mkawanyima watu waisitiri miili ya wapendwa wao kwa heshima na utu,na bado jinsi mlivyo makatili,mnateka,mnalawiti,mnabaka na mnafira,duniani kuna maajabu mkashoot hadi mtoto wa miaka miwili laana hii na damu mlizokunywa mtazilipia na mtazitapika,na dictator wenu hata ishi bali ataangamia,vijana 250 mkawamiminia risasi kwa machine gun,tena wakina hawana siraha

How Samia Suluhu Hassan regime will survive???
 
Hivi unajua ulichokiandika hapo ama umekurupuka bila kufikiri?

Unaposema "Mmefanya a,b,c..." unamaanisha mimi na nani?
Uliniona wapi nikiandaa hayo?
Je, unaushahidi wa mimi kufanya hayo?

Nini maana ya chawa?
Na huo uchawa wangu uko wapi?
Kuna mahali nimewahi kutetea mfumo ovu humu ili nipate kitu fulani?
Ni wapi hapo?

Hivi unajua kusoma kwa ufahamu?
Una fikiri sawasawa kweli?
Au akili zako ziko likizo na sasahivi unafikiri kwa kutumia mbumila?
 
Hivi unajua ulichokiandika hapo ama umekurupuka?

Unaposema "Mmefanya a,b,c..." unamaanisha mimi na nani?
Je, unaushahidi wa mimi kufanya hayo?

Nini maana ya chawa?
Na huo uchawa wangu uko wapi?
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Hivi unajua ulichokiandika hapo ama umekurupuka?

Unaposema "Mmefanya a,b,c..." unamaanisha mimi na nani?
Je, unaushahidi wa mimi kufanya hayo?

Nini maana ya chawa?
Na huo uchawa wangu uko wapi?
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Kuwaua si ndio itaongeza tatizo maana itaonekana Gen Z wana lengo la kuharibu nchi na hawaogopi kuua viongozi.
Hapo issue ya kuombana kistaarabu inakuwa ishakata ,jukumu la Gen Z lakudai haki kistaarabu linakuwa lishaishia hapo.

Hapo ni mwendo wa mashambulizi ya moja kwa moja ,hapo uwe ni mwendo wa kugongana vyuma tu kavukavu ustaabu uwekwe kushoto .

Kosa tunaloendelea kulifanya ni hili , wenzetu wapo seriously sisi tumejikita kwenye ustaarabu maandazi👺
 
Back
Top Bottom