Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,

Wakenya walipata sapoti ya Media,

Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,

Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,

Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.

Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.

Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?

View attachment 3516262
SAmia anawapinzan ndan ya ccm wako weng na wazoefu ndio maana unasikia polepole mara gwajima mara mwambe hao jamaa hawajawai kushindwa wakitaka jambo lao so ni vita ya wakunwa kwa wakubwa wananch ni chambo tu so itafanikiwa na samia atakumbana na kifo au jera
 
Subiri muone mziki
Duniani karibia maeneo mengi patachafuka ni suala la muda tu

NYAKATI ZILIZOTABIRIWA NDIO HIZI
 
In business we say , you don't paid what you deserve but you paid what you negotiate.

Kabla haujaamua kuandamana fikiria matokeo na sio kuamini kuwa ur so exceptional .

Kuna kuuliwa
Kuna kukamatwa
Kuna kupewa ulemavu
Kuna kuwekwa kizuizini.

So if you can't pay the price don't dive on this shit !
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Endelea kuamini mambo ya karatasi utaona !

Katiba ni kitabu haikupi guarantee kuwa upo salama.

Mkiwa hamuwezi kujifunza kwa njia nyepesi mtajifunza kwa njia ngumu.

Huwa nawaambia hapa Africa siasa is dirty game kwahiyo usiamini sijui sheria au katiba utakulinda NO

NO.
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Umenena vyema mkuu

Jeshi linaingilia tu kukiwa na tishio kubwa la usalama wa raia na si vinginevyo mfano:

Sudan.
Polisi walishindwa kudhibiti maandamano, jeshi likaingilia kati likisema linalinda raia.
Likamtoa rais, likapata uungwaji mkono wa wananchi, kisha likabaki na nguvu ila likakosa mbinu za kuongoza.

Raia wakaanza kulidai jeshi uwajibikaji, jeshi likaamua kuchukua madaraka kwanguvu 2021.

Mwisho wake, vita vya ndani vikaanza 2023 na nchi ikavunjika huku raia wakilaumu sana Jeshi kurudia makosa ya aliyepinduliwa.

Jeshi likiingilia maandamano, siyo kutatua tatizo bali kubadilisha tatizo.

Au Bukina Faso; Raisi kijana, anapinga ufaransa , watu wanachekelea kwasababu ya hasira zao za ndani dhidi ya France ila ukweli ni kwamba nguvu ya jeshi bado ndiyo msingi na siyo matakwa ya wananchi, mwisho wananchi wataligeukia tena Jeshi baada ya kuona hawapati walichotarajia kama ilivyotokea Libya na Myanmar.

Mfumo hauangalii kama ni jeshi limechukua nchi au rais amebadilishwa; mfumo unaangalia mbinu za kiongozi na uwezo wa kudhibiti hali.

Mfano kwenye soka, kocha anaweza kumbadilisha mchezaji, au kutumia formation tofauti, lengo ni ushindi, hivyo hivyo kwenye mfumo wa taifa.
Mfumo hufuata ufanisi wa kiongozi na sheria sahihi na siyo nani anayeongoza.
Mtu kauza rasilimali karibu zote nchini huyu si tishio?, kauza/kataifisha mashirika ya taifa na bandari zote ambazo kiuhalisia ni lango la nchi, je hili sio tishio?.

Mtu anakwapua mabilioni ya pesa za walipa kodi na kuzitumia kinyume na taratibu je hili si tishio kwa anguko la nchi?.

Mtu kapoteza mamia/maelfu ya raia wake mwenyewe na kubambikiza makosa ya uongo nje ya mahakama je hili si tishio?.

Mtu anagawa hovyo vyeo nyeti ktk serikali kwa watu wasio na uadilifu je hili si tishio?.

Mtu anaingia mikataba ya HOVYO nje ya bunge kisiri na baadae akigunduliwa anaforce kusaini, je hili si tishio?.

Mtu kakataliwa na raia wake karibu 90%, lkn maajabu kaforce kuongoza kwa kutoa maisha ya maelfu ya watu je hili si tishio?, ninyi wenzetu tishio la usalama wa taifa huwa mnalitafsiri kwa kuvamiwa na wageni pekee?, hamuoni kuwa shida ikianzia ndani, basi hata wa nje anamalizia tu?, kwanini msitatue chanzo cha tatizo ambacho kimeanzia ndani mnasubiri matokeo ndio mudeal nayo, hii ni akili au UTINDIO WA UBONGO.

mkubali mkatae, uongozi wa huyu mwanamke mpumbavu, umeharibu taswira ya nchi kimataifa, umeharibu maendeleo na mustakabali wa nchi, yaani kiufupi jeshi na vyombo vyote vya kiusalama ilitakiwa viungane kuuondoa huu utawala HARAMU wa ibilisi SAMIA SULUHU HASSAN na magenge yake.

Mnaomtetea huyu fisadi mna mioyo migumu sana
 
Una ushahidi ? Kama unao weka hapa
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kuanzia sasa inatakiwa iiweke kwenye list ya terrorist organization.
 
Cc

Ccm is there to stay

Kosa lako la kwanza umechanganya hasira na lugha chafu kwenye hoja nzuri hivyo umejithibitishia mwenyewe kuwa hoja zako hazijajengwa kimantiki bali kihisia.
Na mimi sijadili mihemko, najadili hoja.

Kosa lako la pili unanituhumu kutetea ufisadi na mfumo mbovu bila kuquote mahala ambako nimesema hivyo.
Huo ni uzembe wa kufikiri.

Tatu, hujanielewa.
Sijasema jeshi lichukue nchi wala sioni kama hilo ni suluhisho la kudumu. Usinipachikie hoja ambazo sijasema.

Ukisoma post zangu ndani ya uzi huu nimezungumza kwamba suluhisho la kweli ni kubadili mfumo mzima (katiba), na hilo pekee halitatosha kama hatutachagua na kiongozi thabiti, mtashi, na mwenye uwezo wa kudhibiti mfumo.

Nne, mimi ninaunga mkono maandamano ya kimkakati na siyo maandamano ya uharibifu wa mali,
Uharibifu wa mali hauufanyi mfumo dhaifu uanguke, bali unaupa mfumo dhaifu uhalali wa kutumia nguvu ya kudhibiti wananchi.
Mwisho wa siku, mfumo dhaifu utaendelea kupeta kwa kisingizio cha “walikuwa wanaharibu mali za watu ndiyo maana tukawazuia”.

Maandamano yenye nidhamu:
-Hufuata sheria.
-Huunyima mfumo dhaifu kisingizio cha “Tunalinda amani”.
-Huilazimisha dola kubaki kimya bila hoja za kujitetea.

Hasira za wananchi sio mkakati, na vurugu sio suluhisho la kweli.

Angalia Chile mwaka 88,
Poland 89 na
Tunisia 2011,
Maandamano ya amani, Shinikizo kubwa, hakuna uharibifu, badiliko la katiba + kuchagua viongozi watashi, Mfumo dhaifu ukakosa kiteteo mwisho walipata matokeo safi.

Linganisha na Libya, Syria, Yemen, na Sudan.
Maandamano yasiyo ya kimkakati kama yale ya october, vurugu, uharibifu wa mali na jeshi kuingilia kati.
Matokeo yake tunayaona, hizo ndiyo nchi ambazo hazina amani hadi leo na mifumo yao bado haijarekebishwa.

Elewa kwamba hata kama jeshi likichukua nchi, bila kubadilisha mfumo (katiba) na bila kuwa na uongozi bora, hakuna kitakachobadilika.

Raia wataendelea kudai maslahi yao kwa jeshi, migogoro itaendelea, na mzunguko wa matatizo hautaisha.

Mtaelewa lini mambo haya.
Nachoka sasa baba yenu.
Ibn Unuq.
 
What you reveal you can heal MKUU

Tuliwaambia don't send this younger generation barabaran kwakuwa mazingira hayupo salama

Mkasema sisi ni chawa
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Kwahiyo hukumu yao ni kuwafanyia genocide????,

Tuliwaambia nyie mliokuwa mnahamasisha maandamano na kutoa wrong information ndo mnabidi kushtakiwa .
 
Back
Top Bottom