Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Umesema vyema, ndiyo inavyotakiwa kuwa. Tuheshimiane hata kama hatukubaliani.Ili elimu iendelee kuwepo lazima tutofautiane mitazamo.
Kwangu mimi TAIFA KWANZA, TANZANIA KWANZA.
naipenda sana nchi yangu, napenda sana amani ya taifa hili.
TIMIZA WAJIBU NDO UDAI HAKI, BILA HVO KINYUME CHAKE NI VURUGU.
huwa naheshimu sana mawazo ya mtu hata kama yanakinzana na ya kwangu!
Ila machawa wa CCM wananipa wakati mgumu kuwaheshimu japo najitahidi!
