Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

Dawa hapa nikuwaua tu mmoja mmoja ,gonga vyuma one by one hadi waweke mpira kati , huu Us3ng3 wa kubembelezana tunapoteza muda tu 👺
Kuwaua si ndio itaongeza tatizo maana itaonekana Gen Z wana lengo la kuharibu nchi na hawaogopi kuua viongozi.
 
Tutafanyaje sasa 😔 😔
Hapo ndo changamoto maana hapo sio kudeal na mtu mmoja kama sisi tunavofanya

Hapo inahitajika kuuproot mizizi hiyo ilishika ardhinya tz kila kona

And to do that, nguvu kubwa sana itahitajika coz tukideal na mtu mmoja hii ni kama cancer ishasambaa
 
Tanzania siyo Kenya, kila nchi ina uniqueness yake. Hapo unapoleta mfano wa Kenya vipi mwingine akikuletea mfano wa Madagascar au wa Nepal au wa Mexico? Kinachotokea nchi moja si lazima kitokee nchi nyingine, we're all going through different ordeals and so we tackle them differently.
True, lakini haujajibu swali langu, sisi tutafanya nini cha tofauti?
Hizo nchi nyingine ulizotaja walikua na support ya jeshi au militia groups!
 
Tatizo sio CCM pekee Tanzania, Tatizo la Tanzania ni vyama vya Siasa na Tume. Mimi Nina suluhisho LA matatizo ya Tanzania nipewe hela b3 zinatosha na Wala sihitaji mtu yeyote Wala mwanaharakati Mimi mwenyewe TU miezi 6 mingi
 
Uhalisia ndo huu hapa ni kujaribu kukaza TU, tuone itakuwaje maana ishakuwa nongwa sasa

Hapa mizizi yao ishajishika vizuri kwenye ardhi ya Tanganyika thus why iko hivo
Yaani hao dawa ni kuwagombanisha tu.wavurugane kisawa sawa,.
Waanze kuumizana wao kwa wao lazima wawe weak nd ndo itakua rahisi kuiondoa ccm madarakani, na uzuri wameshaanza kuvurugana so there’s hope.
 
True, lakini haujajibu swali langu, sisi tutafanya nini cha tofauti?
Hizo nchi nyingine ulizotaja walikua na support ya jeshi au militia groups!
Kuna msemo(tafsiri isiyo rasmi) tutavuka daraja tutakapofika, itategemea tukifika darajani tutakuta daraja la aina gani. Mbinu za kutumika hutegemea aina ya mazingira when the opportunity arises.
 
Yaani hao dawa ni kuwagombanisha tu.wavurugane kisawa sawa,.
Waanze kuumizana wao kwa wao lazima wawe weak nd ndo itakua rahisi kuiondoa ccm madarakani, na uzuri wameshaanza kuvurugana so there’s hope.
Good point but how can it be successful
 
Back
Top Bottom