Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Walifeli sababu hawakupata support ya vyombo vya usalama na jeshi.Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,
Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.
Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.
Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?
View attachment 3516262
It will be the same story in Tanzania, unless jeshi liamue kua upande wa wananchi.