Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
Hiki ulichoweka hapa kinahusiana nini na mada?
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.Hii siyo serikali ya samaki ndugu
Jikite kufanya kazi ujiongezee kipato

Una nini lakini?Hii siyo serikali ya samaki ndugu
Jikite kufanya kazi ujiongezee kipato
Pia siyo serikali halali inayokubalika na ummaHii siyo serikali ya samaki ndugu
Jikite kufanya kazi ujiongezee kipato
We bibie...Una nini lakini?
Hii inawezekana kweli? kuna chama chochote cha siasa Afrika ambacho kimewahi kuwekwa kwenye list ya terrorsit organizations?Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
secretarybird said na wewe umeanza kupewa zile 7,000 na kambi ya kijani π πWe bibie...
Hahahahahahaha
Chama Cha kigaidi kimeua watu zaidi y elf10 dawa yake ni moto π₯
Hujajibu nilichouliza, sisi tutafanikiwa vipi? tuna nini cha tofauti au ziada?Chama Cha kigaidi kimeua watu zaidi y elf10 dawa yake ni moto π₯
Wakenya GenZ wana akili kuliko Watanzania GenZ. Hawakuharibu miundombinu ya umma kama Mahakama, mwendokasi, TRA na Mahakama.Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,
Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.
Japo wakenya walitoka kwa umoja, wakapambana na polisi na kufanikisha maandamano makubwa kuwahi kutokea Afrika mashariki bado wameshindwa kumtoa Ruto madarakani na ni raisi mpaka leo.
Sisi gen Z wa TZ, tunaweza kufanya nini cha tofauti au cha ziada na kuwezesha kumtoa Samia madarakani?
View attachment 3516262