GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,

Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.

Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.

1753450212832.png

1753450041754.png
 
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Ila yaye ndio mwenye mahakama na polisi.. Kunatakua na kesi hapo kweli? 😁 😁
 
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,

Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.

Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.

View attachment 3418365
View attachment 3418359
Ni kweli alishaanza kampeni mapema lakini nani wa kumnyoshea kidole? Mkuu wa Tume ya Uchaguzi kateua yeye na Mkuu wa Mahakama kateua yeye. Je wataweza kumgeuka? Pingamizi itatupiliwa mbali tu. Lakini ukweli ni kuwa mwaka huu mambo hayatakwenda kama walivyozoea. Maadam kuna damu za watu zinapiga kelele na waumini waliobyimwa haki ya kuabudu, Mungu hatanyamaza. Subirini tu majibu kabla ya mwaka kwisha!
 
Tutaua mtu akiweka pingamizi, sisi na Dkt Samia tu!
 
knock out ya kwanza itakuwa tafsiri ya hilo neno " SSH". hapo ndipo patakuwa kizungumkuti...
 
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,

Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.

Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.

View attachment 3418365
View attachment 3418359
Duuu
 
Siyo kwa sababu hiyo tu kuwa hafai.
Pingamizi ni la kutumia hila na ulaghai kukiuka katiba na taratibu za chama kufanya uteuzi usiokuwa halali. Hili tayari ni kosa kubwa linaloweza hata kumweka jela na kufukuzwa ndani ya chama.
 
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,

Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.

Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.

View attachment 3418365
View attachment 3418359

Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
 
"Shemsa Mohamed"
Mwenyekiti CCM, Mkoa wa Simiyu.

"Nitasema Kweli, Fitina Kwangu Mwiko"

HESHIMA NYINGI KWENU WATANZANIA. Nchi yetuitabaki salama kwa uwepo wa waTanzania wa namna hii.

Mungu Ibariki Tanzania.

Hivi wanataka kurekebisha Katiba ya chama ili iweje. Imruhusu Samia Suluhu Hassan kuteuliwa?
Huu mbona utakuwa ni ujuha wa kiwango cha juu zaidi kuwahi kutokea ndani ya nchi hii!
 
Back
Top Bottom