GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Vilivyobaki uwanjani vyote ni shikizi . Labda Lissu atolewe nje kwanza
 
Dah Kama hili hapa Obama road, nyuma ya Ocean road hospital, ni kubwa hata ukifumba macho linaonekana..HOFU YA NINI?
 
Na picha yake ataikana
Kuikana picha yake itakuwa kazi rahisi tu... atavua kilemba na kuchukua portrait mpya... hiyo ya kwenye piki piki atasema haitambui... hapo sasa ndipo itakuwa vurugu kubwa toka kwa ndugu zake wa dini yake kama ikitokea kauondoa ushungi wake... Vinginevyo, atakuwa na wakati mgumu sana kupangua hoja za wapinzani wake.
 
Pingamizi likafanyiwe maamuzi na jaji huyuhuyu mutungiz wa tume na jaji hamidu wa mahakamani?
 
Back
Top Bottom