Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Mchukue akaongoze ukoo wako!
We unaota ndoto mbaya amka utajikojolea. Kwanza ht hujielewi, ni nani huyo ndani ya nchi hii anaweza kufanya hivyo? We zuzu unajifurahisha tuEndapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Hiyo takataka mtumie mamako km pongezi kwa malezi ya hovyo. Jitu lizima unaokoteza takataka km hiyo bila ht haya? Ila ht hujagundua km huyo lofa aliyeandika amesahau kusaini.
Msitu wa Magwepande hiv siku hiz haupo?
UpoMsitu wa Magwepande hiv siku hiz haupo?
Nyie misukule mwa humu mitandaoni? Umeshasikia nje ya humu kuna mtu ht anajua huu upuuzi wenu? Nyie ni mazuzu tuNi kweli alishaanza kampeni mapema lakini nani wa kumnyoshea kidole? Mkuu wa Tume ya Uchaguzi kateua yeye na Mkuu wa Mahakama kateua yeye. Je wataweza kumgeuka? Pingamizi itatupiliwa mbali tu. Lakini ukweli ni kuwa mwaka huu mambo hayatakwenda kama walivyozoea. Maadam kuna damu za watu zinapiga kelele na waumini waliobyimwa haki ya kuabudu, Mungu hatanyamaza. Subirini tu majibu kabla ya mwaka kwisha!
Basi wajumbe wenda hawajui kwamba upo🙏
Na picha yake je? Labda ajikane kuwa si yeye.knock out ya kwanza itakuwa tafsiri ya hilo neno " SSH". hapo ndipo patakuwa kizungumkuti...
Mimi mambo ya siasa sijawahi kuyaelewa kabisa na hata hapa nimesoma ila sielewi kitu. Ukisema wagombea watatu unamaanisha wagombea kutoka chama kimoja au vyama tofauti? 🤣😭Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Hapa wamefanya kosa kubwa sana la kimkakati ( Haramu + Najisi)Kuna Kada Mkongwe wa CCM amesema, haijawahi kutokea eti M/kiti na Katibu Mkuu wa CCM wakae wajiteue wenyewe kwenye nafasi yeti kama hii. Yaani nanukuu " Mimi M/kiti nakuwa Mgombea pekee na kisha wewe Katibu unakuwa Mgombea Mwenza.
Anasema wote wawili wanekinajisi Chama hivyo hawafai hata kuwa wanachama wa kawaida. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Katibu na Mwenyekiti wake??? Hata Nyerere akifufuka atakufa saa hiyo hiyo kwa mshituko wa moyo kwa uozo huu.
Kuweka pingamizi wapi? Hukipendi? Mahakamani au kwengine? Unadakwa na upotee kabla hata hujafika huko mahakamani kwako.
Hapo ndipo tulipofikia...inasikitisha saana hii si Tanganyika ambayo ilipata uhuru wake tisa disemba 61