Ila yaye ndio mwenye mahakama na polisi.. Kunatakua na kesi hapo kweli? π πEndapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Ni kweli alishaanza kampeni mapema lakini nani wa kumnyoshea kidole? Mkuu wa Tume ya Uchaguzi kateua yeye na Mkuu wa Mahakama kateua yeye. Je wataweza kumgeuka? Pingamizi itatupiliwa mbali tu. Lakini ukweli ni kuwa mwaka huu mambo hayatakwenda kama walivyozoea. Maadam kuna damu za watu zinapiga kelele na waumini waliobyimwa haki ya kuabudu, Mungu hatanyamaza. Subirini tu majibu kabla ya mwaka kwisha!Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Tutaua mtu akiweka pingamizi, sisi na Dkt Samia tu!
sisi watumishi wa Mungu tushamshitaki katika mahakama ya mbinguni kwa Mungu wa haki. Majibu mtayaona hivi punde. Na hivi anavyoyafungia makanisa?Kwa mahakama ipi?, ulishawahi ona mahakama inajishitaki?
Majambazi ya Lumumba yanaenda kufanya mabadiliko ya katiba yao huku yanasema hayaoni umuhimu wa kufanya mabadiliko ya katiba chakavu ya nchi yenye miaka 48.
DuuuEndapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Siyo kwa sababu hiyo tu kuwa hafai.Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na wagombea wa vyama vingine kwa sababu zilezile.
Ibara ya 38 (2)a ya Katiba ya JMTZ imevunjwa, na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM kipengele cha uteuzi wa mgombea kimekiukwa.
View attachment 3418365
View attachment 3418359
Na picha pia; ikiendana na hiyo SSH? Hiyo itakuwa sheria ya mashetani.knock out ya kwanza itakuwa tafsiri ya hilo neno " SSH". hapo ndipo patakuwa kizungumkuti...