GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huwezi kumfungulia kesi Rais wa Tanzania
 
We unaota ndoto mbaya amka utajikojolea. Kwanza ht hujielewi, ni nani huyo ndani ya nchi hii anaweza kufanya hivyo? We zuzu unajifurahisha tu
 
Nyie misukule mwa humu mitandaoni? Umeshasikia nje ya humu kuna mtu ht anajua huu upuuzi wenu? Nyie ni mazuzu tu
 
Kuna Kada Mkongwe wa CCM amesema, haijawahi kutokea eti M/kiti na Katibu Mkuu wa CCM wakae wajiteue wenyewe kwenye nafasi yeti kama hii. Yaani nanukuu " Mimi M/kiti nakuwa Mgombea pekee na kisha wewe Katibu unakuwa Mgombea Mwenza.

Anasema wote wawili wanekinajisi Chama hivyo hawafai hata kuwa wanachama wa kawaida. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Katibu na Mwenyekiti wake??? Hata Nyerere akifufuka atakufa saa hiyo hiyo kwa mshituko wa moyo kwa uozo huu.
 
Majaji wote CCM jeshi CCM polisi CCM bunge CCM watz walishauza nchii shauri yenu.
 
Mimi mambo ya siasa sijawahi kuyaelewa kabisa na hata hapa nimesoma ila sielewi kitu. Ukisema wagombea watatu unamaanisha wagombea kutoka chama kimoja au vyama tofauti? 🀣😭
 
Hapa wamefanya kosa kubwa sana la kimkakati ( Haramu + Najisi)
 
Kuweka pingamizi wapi? Hukipendi? Mahakamani au kwengine? Unadakwa na upotee kabla hata hujafika huko mahakamani kwako.

Hapo ndipo tulipofikia...inasikitisha saana hii si Tanganyika ambayo ilipata uhuru wake tisa disemba 61
 
Kuweka pingamizi wapi? Hukipendi? Mahakamani au kwengine? Unadakwa na upotee kabla hata hujafika huko mahakamani kwako.

Hapo ndipo tulipofikia...inasikitisha saana hii si Tanganyika ambayo ilipata uhuru wake tisa disemba 61

Imeandikwa usiogope
 
Kesho tutaenda kushuhudia kwa mara ya kwanza jinsi katiba ya chama itaenda kufanyiwa marekebisho kwa masilahi binafsi ya SSH pamoja na watu wake....Hapa ndio utakwenda kuwa mwisho wa CCM kwa umma.

What a bad move.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…