Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kikubwa si kuhesabu siku tu,saudia Kama wao walianza kufunga siku moja kabla ya uku ,inamaana wao mwenzi uliwahi kutoka na siku 30 tayari ,na uku kesho siku 29,simple tu au inakuaje
Hata uku kuna walioanza na saudia. Saudia hata hivo wanaenda na kaenda
 
Attachments

  • Screenshot_20230420-212747_Chrome.jpg
    Screenshot_20230420-212747_Chrome.jpg
    167.1 KB · Views: 5
Hakuna njia ya mkato, watu wa mnyaaz itawapasa nao wamalizie vyungu vyao 30. Huko kwingine kote wao ni Suni, na msimamo wao taarifa za mwezi kuandama hupatikana sehemu yoyote ile duniani, kuuona kwa macho ya kibinadamu siyo kizingiti.

Hapa Bongo, BAKWATA ni zao la Shia. Ni lazima auone ama kupata taarifa za muandamo wa mwezi hapa nchini. Hapa ni sawa na kutaka kuwaeka pamoja Wakatoliki na Wasabato.
 
Kwahiyo hizo nchi nyingine za Sunni nao hawali Iddy kesho?
 
Back
Top Bottom