Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Kila mwaka Tanzania ndio wa mwisho kuona mwezi. BAKWATA kuna namna.Kama Mwezi haujaonekana Tanzania then? Hakuna wa kumlaumu; utaratibu uko very clear.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwaka Tanzania ndio wa mwisho kuona mwezi. BAKWATA kuna namna.Kama Mwezi haujaonekana Tanzania then? Hakuna wa kumlaumu; utaratibu uko very clear.
Funga kwanza ndo ulalamike. Unacheua kitimoto kwa shibe afu unaulizia mambo ya mfungo? Usiingilie utaratibu wa watu.Uganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni Napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe jumamosi?
MnazinguaHaya mambo ya mitandao siku hizi kila mtu anajifanya mtaalamu, hizi tofauti hazijaanza juzi wala jana.
Lazima muone wanazingua maana mnafuatilia msiyoyaelewa.Mnazingua
Kwani na wao kwao kuna Bakwata ?Uganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni Napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe jumamosi?
Ila sio lazima kufuata Bakwata, wapo wasiofuata Bakwata hapa Tanzania.Muft kasema amewasiliana na kenya ameambiwa hawajauona mwezi ila kenya wametangaza kuuona sjui kawasiliana na kenya ipi!!
Poleni na huu mzimu wa bakuata mtaendelea kuachwaa
Na wewe usiwe wa CCMKikubwa si kuhesabu siku tu,saudia Kama wao walianza kufunga siku moja kabla ya uku ,inamaana wao mwenzi uliwahi kutoka na siku 30 tayari ,na uku kesho siku 29,simple tu au inakuaje
Ila mnamatatizo nyie watu, kabla ya kuwepo kwa simu na internet mlikuwa mnajuaje mambo ya mwezi kuonekana Kenya ili mjue kwamba ni EidSaudi Arabia na UAE wanakula eid kesho uhakika.View attachment 2594434
Ndio hvo mkuu, inabidi tuwe na subira tu.Ila mnamatatizo nyie watu, kabla ya kuwepo kwa simu na internet mlikuwa mnajuaje mambo ya mwezi kuonekana Kenya ili mjue kwamba ni Eid