Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

OMAN, wao majirani kabisa wa Saudi Arabia wao Eid yao iko Jumamosi, India, Indonesia, Iraq, Iran nako huko ni Jmosi.

Nchi nyingi Eid ni Jmosi na sio Leo hii IJUMAA

Kuna watu wamezaliwa kupinga tuu
 
Uganda Ni 21/4
Kenya 21/4 Tena Hawa waliuona toka majuzi.
Bakwata Hadi Sasa hawajauona, wale wa vipedo almaaruf answar wsmeuona. Kwanini bakwata wasishirikiane na masheikh wa answer? Kenya kwenyewe wanakoshirikiana nao umeonekana.
 
Kuna Eid ya 2019 watu walichanganyana hivyo hivyo.... Basi me nilikuwa sehemu moja hivi dukani nikasikia Shekh asema '' Yan waislam wazima tunazidiwa akili na wakristu, wewe ushawahi ona Pasaka mbili au Christmas mbili"

Tatizo kufunga wanaanza pamoja issue kufungua sasa ndy mtiti....
 
1682019643368.jpg
1682019643368.jpg
 
Watu wanasema mambo ambayo hawayaelewi. Uislamu ni dini ya kanuni na kanuni zake ni kitabu Qur'an na Sunna yaani mwenendo wa mtume. Hakuna kufuata nchi hata kama ni saudia. Ikiwa wanachokifanya ni tofauti na kitabu na sunna basi tunafuata kanuni sio nchi.
Acha kupotosha watu na muogope mola wako katika maisha Yako jitaidi kutafuta ukweli Kwa kusoma na kujifunza haiwezekan Dunia nzima waseme ni nyeupe halafu ww peke Yako n kund la watu wako mseme ni nyeusi Kuna calendar za kiislamu Leo ni mwez mwingine shawaal sio Ramadhan na kumbuka sis tumepokea tu dini imeanzia huko uarabun usitake kusema unajua dini kuliko walio kuletea ingekuwa Iran wametangaz, tungesema ni shia ila ni saudia waislam wenzetu
 
Hiyo sio synonyms tunaita Homographs Mkuu.
... synonyms maneno yenye maana sawa; homographs maneno yenye matamshi yanayofanana! You're absolutely right! Thank you.
 
Back
Top Bottom