Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Siku zote Huwa wanafunga siku 30 na sio mpaka mwezi uandame kiufupi hata wao wenyewe hawako pamoja.
 
Kila mwaka sisi huku na Saud Arabia lazima tupishane nao siku moja kwenye kusherehekea I'd. Lazima wao watangulie siku moja,. Huku kwetu ksbb bado tunakuwa hatuna uhakika na mwezi ndio maana hata kama umechomoza ijumaa haujaonekana,lakini ili kuweka sawa kwa wote BAKWATA wanabalance wamesema ni jumanosi kwa uhakika kabisa
 
Niko bado nawaza,hivi itakuwaje kama utaonekana J.tatu...
 
Niko bado nawaza,hivi itakuwaje kama utaonekana J.tatu...
Sheria ya Dini ya Kiislam kuhusu Ramadhan iko wazi, Mfungo ni siku 29 au 30 kutegemeana na muandamo wa Mwezi, hivyo hata kama mwezi hutouona lkn ikifika siku ya 30 basi ndio mwisho Ramadhan.
 
inasikitisha sana mkuu

Yani Waarabu wenye dini yao asilia wanasherehekea leo ,na wao wanaijua kalenda yao vizuri zaidi na hata namna miezi inavobadilishana

sisi tulioletewa za kuambiwa tunalishana matango pori
kujifanya wajuzi zaidi ya wao

Africa Kuna kitu hakiko sawa.
 
BAKWATA ni janga la Taifa. Wanaoendelea kuwafuata ni wendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…