Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Saudia siku 30 zilikamilika na huku ilikuwa 29 na mwezi ukaonekana na Mufti wa BAKWATA akatangaza.Basi Apo Kuna tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudia siku 30 zilikamilika na huku ilikuwa 29 na mwezi ukaonekana na Mufti wa BAKWATA akatangaza.Basi Apo Kuna tatizo
Sioni tatizo lolote Rais kuhutubia baraza la Eid, mbona anahutubia kila anakowakilisha nchi. Ondokana na fikra kandamizi.Aibu sana,ni bora angeachiwa waziri Mkuu au makamo wa rais Mpango
tanzania ni nchi huru kujiamulia mambo yake yenyewe,kwani MUNGU anakaa saudia?Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24.
Hizi dini ni za magumashi amkeni.
View attachment 2594651
Cc: Kiranga
Nilisema haya mambo huyajui. Mwezi una hesabu zake. Fuatilia huko kwenye elimu za Astronomy.Mwezi unazaliwaje wakati dunia ndio inajizungusha kwenye mhimili wake kuupata majira?
Kuhutubia na Kuswalisha ni SAWA?Kesho mama anahutubia baraza la Iddi. Nadhani itakuwa mara ya kwanza mwanamke kuwahutubia Mufti, masheikh na waumini wa bongo...
Siyajui ndio sababu nakuuliza wewe ustaadh unipe ilmu!Nilisema haya mambo huyajui. Mwezi una hesabu zake. Fuatilia huko kwenye elimu za Astronomy.
Sijui, nifahamishe basi nipate elimuKuhutubia na Kuswalisha ni SAWA?
Imekatazwa KUSWALISHA. Mwanamke hawezi kuswalisha sio kuhutubia, anaenda kama kiongozi sio SHEKHE. Tumieni akili sawasawa.Sijui, nifahamishe basi nipate elimu
Nimemmisi Habiba wangu wallahkumbe mmewezwaa mlikua na mipango yenu bahat mbaya imefelishwa
Niko bado nawaza,hivi itakuwaje kama utaonekana J.tatu...Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia. Kawaida nchi za Mashariki ya Mbali zinatangulia kuuona. Sisi tumeganda na kutaka tuuone kwenye eneo letu. Mungu Mkubwa. Iko siku tutafika. Shida ni kulishana siku ya Ramadhan na kufunga siku ya Idd. Katika makundi haya mawili kuna kundi linapigwa hawana hoja za mashiko zaidi ya kuburuzana.
Sheria ya Dini ya Kiislam kuhusu Ramadhan iko wazi, Mfungo ni siku 29 au 30 kutegemeana na muandamo wa Mwezi, hivyo hata kama mwezi hutouona lkn ikifika siku ya 30 basi ndio mwisho Ramadhan.Niko bado nawaza,hivi itakuwaje kama utaonekana J.tatu...
Atulipe sote kaka mkubwa.Allah akulipe kheri ndugu yangu.
Hahaha mimi mdogo wako Akhy. Kiumri na kielimu.Atulipe sote kaka mkubwa.
Hahaha hapana kabisa bhana.Hahaha mimi mdogo wako Akhy. Kiumri na kielimu.
Kwanini nchi zote zinazotuzunguka hadi Saudi Arabia leo ni sikukuu lakin Tanzania hapanaSio kweli, huenda unachangia usichokijua..
inasikitisha sana mkuuAcha kupotosha watu na muogope mola wako katika maisha Yako jitaidi kutafuta ukweli Kwa kusoma na kujifunza haiwezekan Dunia nzima waseme ni nyeupe halafu ww peke Yako n kund la watu wako mseme ni nyeusi Kuna calendar za kiislamu Leo ni mwez mwingine shawaal sio Ramadhan na kumbuka sis tumepokea tu dini imeanzia huko uarabun usitake kusema unajua dini kuliko walio kuletea ingekuwa Iran wametangaz, tungesema ni shia ila ni saudia waislam wenzetu