Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Siku zote Huwa wanafunga siku 30 na sio mpaka mwezi uandame kiufupi hata wao wenyewe hawako pamoja.
 
Kila mwaka sisi huku na Saud Arabia lazima tupishane nao siku moja kwenye kusherehekea I'd. Lazima wao watangulie siku moja,. Huku kwetu ksbb bado tunakuwa hatuna uhakika na mwezi ndio maana hata kama umechomoza ijumaa haujaonekana,lakini ili kuweka sawa kwa wote BAKWATA wanabalance wamesema ni jumanosi kwa uhakika kabisa
 
Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia. Kawaida nchi za Mashariki ya Mbali zinatangulia kuuona. Sisi tumeganda na kutaka tuuone kwenye eneo letu. Mungu Mkubwa. Iko siku tutafika. Shida ni kulishana siku ya Ramadhan na kufunga siku ya Idd. Katika makundi haya mawili kuna kundi linapigwa hawana hoja za mashiko zaidi ya kuburuzana.
Niko bado nawaza,hivi itakuwaje kama utaonekana J.tatu...
 
Niko bado nawaza,hivi itakuwaje kama utaonekana J.tatu...
Sheria ya Dini ya Kiislam kuhusu Ramadhan iko wazi, Mfungo ni siku 29 au 30 kutegemeana na muandamo wa Mwezi, hivyo hata kama mwezi hutouona lkn ikifika siku ya 30 basi ndio mwisho Ramadhan.
 
Acha kupotosha watu na muogope mola wako katika maisha Yako jitaidi kutafuta ukweli Kwa kusoma na kujifunza haiwezekan Dunia nzima waseme ni nyeupe halafu ww peke Yako n kund la watu wako mseme ni nyeusi Kuna calendar za kiislamu Leo ni mwez mwingine shawaal sio Ramadhan na kumbuka sis tumepokea tu dini imeanzia huko uarabun usitake kusema unajua dini kuliko walio kuletea ingekuwa Iran wametangaz, tungesema ni shia ila ni saudia waislam wenzetu
inasikitisha sana mkuu

Yani Waarabu wenye dini yao asilia wanasherehekea leo ,na wao wanaijua kalenda yao vizuri zaidi na hata namna miezi inavobadilishana

sisi tulioletewa za kuambiwa tunalishana matango pori
kujifanya wajuzi zaidi ya wao

Africa Kuna kitu hakiko sawa.
 
BAKWATA ni janga la Taifa. Wanaoendelea kuwafuata ni wendawazimu
 
Back
Top Bottom