uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kila siku nakuambia uwezo wako ni mdogo,
Ilimu ya madrasa iliharibu akili yako
Ilimu ya madrasa iliharibu akili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BKT=Union Govt/TZ-√TISSUganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe Jumamosi?
Waislam wengi ndio wakina nani? Mi nadhani wakristo wa nchi hii mnashughulishwa kupita kiasi na mambo ya waislam hebu punguzeni kidogo.Sa mbona waislam wengi ndio wanalalamika kwamba Mufti kawaingiza chaka?!.
Sie Wakristo tunashangaa tu wenzetu viipi mwezi ni mmoja muandamo tofauti, kulikoni.
Tatizo wametubania Long weekend hawa majamaa ya BAKWATA...mkuu tusifanye mafupi yakawa marefu weww fuata unachoona ni sahihi kama kesho kwako ni eid ruksa wewe kula idi yako kama ni kesho kutwa pia ruksa
Maagizo kutoka juumufiti katelekeza raia mapema kabisa
kumbe tatizo ndio hilo tuTatizo wametubania Long weekend hawa majamaa ya BAKWATA...
Kumbe ulikuwa hujastuka? Wengine leo tumechukua Uraia wa Kenya. Sicksheet fastaa...kumbe tatizo ndio hilo tu
Sisi Pasaka tumewapumzisha siku mbili za kazi. Afu wenzetu wametubania... Dah!Ni njama za wakristo
Babu itabidi uitishe kikao Cha dharura hii sio poa..Sisi Pasaka tumewapumzisha siku mbili za kazi. Afu wenzetu wametubania... Dah!
Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia. Kawaida nchi za Mashariki ya Mbali zinatangulia kuuona. Sisi tumeganda na kutaka tuuone kwenye eneo letu. Mungu Mkubwa. Iko siku tutafika. Shida ni kulishana siku ya Ramadhan na kufunga siku ya Idd. Katika makundi haya mawili kuna kundi linapigwa hawana hoja za mashiko zaidi ya kuburuzana.Mwezi ni mmoja Muandamo tofauti
Maagizo kutoka juu
Mwezi unazaliwaje wakati dunia ndio inajizungusha kwenye mhimili wake kuupata majira?Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia. Kawaida nchi za Mashariki ya Mbali zinatangulia kuuona. Sisi tumeganda na kutaka tuuone kwenye eneo letu. Mungu Mkubwa. Iko siku tutafika. Shida ni kulishana siku ya Ramadhan na kufunga siku ya Idd. Katika makundi haya mawili kuna kundi linapigwa hawana hoja za mashiko zaidi ya kuburuzana.
Kesho mama anahutubia baraza la Iddi. Nadhani itakuwa mara ya kwanza mwanamke kuwahutubia Mufti, masheikh na waumini wa bongo...nchi ngumu sana hii
kumbe mmewezwaa mlikua na mipango yenu bahat mbaya imefelishwaKumbe ulikuwa hujastuka? Wengine leo tumechukua Uraia wa Kenya. Sicksheet fastaa...
Aibu sana,ni bora angeachiwa waziri Mkuu au makamo wa rais MpangoKesho mama anahutubia baraza la Iddi. Nadhani itakuwa mara ya kwanza mwanamke kuwahutubia Mufti, masheikh na waumini wa bongo...
Lakini wakati huu walianza kufunga pamoja.Suni wao hula Eid el Fitr siku moja kabla, hali kadhalika huanza kufunga mfungo wa Ramadhani siku moja kabla ya hao wengine.
Jumamosi nayo ni siku kama ilivyo Ijumaa.Uganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe Jumamosi?