Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kila siku nakuambia uwezo wako ni mdogo,
Ilimu ya madrasa iliharibu akili yako
 
Sa mbona waislam wengi ndio wanalalamika kwamba Mufti kawaingiza chaka?!.
Sie Wakristo tunashangaa tu wenzetu viipi mwezi ni mmoja muandamo tofauti, kulikoni.
Waislam wengi ndio wakina nani? Mi nadhani wakristo wa nchi hii mnashughulishwa kupita kiasi na mambo ya waislam hebu punguzeni kidogo.
 
mkuu tusifanye mafupi yakawa marefu weww fuata unachoona ni sahihi kama kesho kwako ni eid ruksa wewe kula idi yako kama ni kesho kutwa pia ruksa
Tatizo wametubania Long weekend hawa majamaa ya BAKWATA...
 
Mwezi ni mmoja Muandamo tofauti
Hujui maana ya mwandamo wewe. Muandamo ni new moon. kwa mujibu wa sheria, Mwezi ukishazaliwa(kuandama) ndio huo huo. Ishu ya kuuona inategememea Position ya nchi. Hoja hapo sio kuuona. Ni kuonwa kwa mwezi na taarifa Authentic zimetoka . Jana mwezi ulishazaliwa na kuonekwana na waliotangulia. Kawaida nchi za Mashariki ya Mbali zinatangulia kuuona. Sisi tumeganda na kutaka tuuone kwenye eneo letu. Mungu Mkubwa. Iko siku tutafika. Shida ni kulishana siku ya Ramadhan na kufunga siku ya Idd. Katika makundi haya mawili kuna kundi linapigwa hawana hoja za mashiko zaidi ya kuburuzana.
 
Mwezi unazaliwaje wakati dunia ndio inajizungusha kwenye mhimili wake kuupata majira?
 
Fanya unaloona linafaa kaka ukisubiri haya ya wanadamu utachizika bure,,kama umeamua kula eid tarehe 20,,,,21,,22,,23,,,27 hata kama ni 30 mbona hakuna atakae kubugudhi na wala si dhambi pia!!!
 
Kesho mama anahutubia baraza la Iddi. Nadhani itakuwa mara ya kwanza mwanamke kuwahutubia Mufti, masheikh na waumini wa bongo...
Aibu sana,ni bora angeachiwa waziri Mkuu au makamo wa rais Mpango
 
Suni wao hula Eid el Fitr siku moja kabla, hali kadhalika huanza kufunga mfungo wa Ramadhani siku moja kabla ya hao wengine.
Lakini wakati huu walianza kufunga pamoja.
 
Back
Top Bottom