Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Nguvu ya nyerere aliyowapa wakatoliki Tanzania hii ni ndogo? kwa lipi unafikiri wanataka wafanye nyerere mtakatifu?

Msome Sivalon utaelewa kama huelewi.

Wewe unaeandika siyo mkatoliki?
Wakatoliki ndo walimpa Nyerere nchi atawale kwa niaba yao sio Nyerere alipewa nguvu na wao...

Kwa asilimia kubwa makoloni aliyoachia mwingereza alikabidhi uhuru kupitia kanisani.
 
Hii nchi hata hakae nanai hapo, bila kufumua mifumo yote ya kijamaa kwa kuleta KATIBA MPYA itayoendana na hali ya dunia ya sasa ni kazi bure.

Maendeleo tutaendelea kuona kwa wenzetu.
Nchi ina vikundi vya watu wameshikilia mifumo ya kunufahisha wao na watu wao na familia zao na sio wananchi wa kawaida.
 
Ni hisia zako tu.
 
Sidhani. Bwana February Hana kitu. Hata jimboni kwake hakubariki kabisa
 
Ya huko sio suala la sasa hivi wakati bado tuna matatizo lukuki ya kisiasa na kiuchumi sasa hivi. Na zaidi ya hapo aliyepo sasa anahaki ya kugombea tena, ukizungumzia hayo mabadiliko Kwa sasa bila kuelekea sababu za msingi itakuwa ni kutucheza shera .
 
Pumba tupu. Wakatoliki wengi waabudu mashetani na ma sanamu. Huko waliookoka kweli kweli hamuwezi kuwaweka maana watafichua mauozo yenu chungu nzima. Ila Taifa likiwa na kiongozi mcha Mungu wa dhati, watu hufurahi.
 
Hao marais wa Kikatoliki ndo waliofinyanga mifumo yote ya nchi hii. Anza kwa J.K.N, Mkapa mpaka John utanielewa.
Sio kweli, tawala chini mkristo/mkatholiki zimekuwa na kawaida ya ubabe, unyang'anyi na ukandamizaji wa vyombo vya Habari ili wananchi wasijue nini kinaendelea.

Ili hali tawala chini ya waislamu zimekuwa na kawaida ya uimarishaji wa demokrasia, uchumi wa watu na uhuru wa watu na vyombo vya habari.

Ukiangalia vizuri, tawala chini ya waislamu huleta nafuu kwa wananchi kiuchumi na kidemokrasia. Mara zote huja kusawazisha/kutuliza maumivu/machungu ambayo yanakuwa yamesababishwa na tawala chini wakristo.

Ukweli ni kwamba ukatholiki una ukoloni na ubabe mwingi ili hali uislam una ustaarabu mwingi.

Kwa sasa Mhimili wenye nguvu ya maamuzi umebadilika, na huo mhimili hautaruhusu makosa kutokea tena!
 
Wakatoliki hujenga halafu huja waislamu kubomoa na kuuza rasilimali kwa waarabu. Hili limetokea kwa Mwinyi, Kikwete na sasa kwa Samia.
 
Huyu ndiye kaka mkubwa Paskali, mzee wa kutoa hint, voices from within au kutonywa na circles za jamaa kutoka kulee.

Mungu atupe uzima na afya njema, na kusudi la yeye alieumba mbingu na nchi na litimie sawia na mapenzi yake.
Yesu alitufundisha kuomba, "Mapenzi ya Mungu yatimie, hata duniani (Tanzania) kama huko mbinguni (sawia na agenda ya kiti cha enzi).

Jumatatu njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…