Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Wakatoliki hujenga halafu huja waislamu kubomoa na kuuza rasilimali kwa waarabu. Hili limetokea kwa Mwinyi, Kikwete na sasa kwa Samia.
Naona mkuu kinyume chake ndio sahihi,

Je umesahau kipindi cha Nyerere, dhahama ya umasikini na vifo wakati wa vijiji? Je umesahau uporaji wa mali kipindi cha Sokoine?

Je, umesahau kipindi cha Mkapa, maadhila ya redundancy kwa wafanyakazi wakati wa ubinafsishaji mashirika ya umma? Je umesahau kilo cha wachimbaji wadogo wa migodi na vifo vya wa pemba wakati wa uchaguzi?

Je, umesahau juzi juzi tu kipindi cha Magufuli, uporaji wa korosho? unyang'anyi kwenye taasisi za fedha? Uporaji wa nyavu na mali za wavuvi? uporaji wa mifugo ya wafugaji? Uporaji wa hela na mali za watu binafsi? na ulaji wa rambirambi za wahanga wa tetemeko la Kagera?

Kuhusu kubomoa nyumba za watu, Nyerere alibomoa nyumba za watu kwa ajili ya vijiji bila fidia. Mkapa na Magufuli walibomoa nyumba za watu Morogoro road bila fidia.

Aliyebinafsisha mashirika ya umma mengi ni Mkapa. Kwa mtu makini na anayeelewa mambo bila kuegemea upande anafahamu kuwa aliyeijenga nchi hii hata kutufikisha uchumi wa kati ni Kikwete .

Miradi mingi ya Magufuli initial plans na financing zake zilishakamilia kipindi cha Kikwete.
 
Ukweli utaendelea kubaki tu, 'KATOLIKI NDIO BABA LAO' na Kwa hapa kwetu, many non catholic christians huwa wanakiri kwamba pamoja na tofauti za kimadhehebu ila kwa upande wa maslahi, katoliki wanapambania maslahi ya wakriso wote bia ubaguzi!
 
Brother hii mbona fumbo la imani? Mpango unaendaje? Wakati kuna kale ka 2015? Sema labda kama kawaida ya jumba jeupe kautabiri kako kako sawa ila kule mjemgo wa dodoma huwa unaambulia patupu na aliwahi bahatika mmoja tu yule 1973 sasa sijui kama hao wa chimwagwa wataibuka dhidi ya Mungu na jumba jeupe
 
If that's the case; inakuwaje zinakuwa unpopular?
 
Trial and error.

Umesahau pia ameshamtabiria Januari. Ameshamtabiria Samia kuendelea.

Ameshatabiria hadi mwanamke mwingine tofauti na Samia (hakumtaja).

Kwahiyo ye yote atakayekuwa, atakuja kuufufua uzi wake halafu atajigamba alipatia. 😁
 
Ila huyo Philip Mpango hapo ndiyo mwisho wake. Tusithubutu Mrundi tena kuingia Ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…