Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

If that's the case; inakuwaje zinakuwa unpopular?
Ni simple mkuu, wanajiamini na uongozi wao maana kwa sehemu kubwa ujio na upatikanaji wao kwenye uchaguzi huwa hauna wa lakini.

Kwa msingi huo hawabani watu kuongea! Wananchi kipindi hicho hupata uhuru wa kutema nyongo baada ya kibano cha wagalatia! Kama ilivyo sasa!
 
pasco cheki tips zako vizuri, hao jamaa wa jumbaa lile wanatoa jina la mpango ili ashughulikiwe iwe njia rahisi kwq mtu wao

au

wanabip waone kuna nini?? ni mtego huo
 
Kama wananchi wana uhuru, mbona hizo awamu ndiyo zinaongoza kuwa unpopular?
 
Hizi story za majizi ya kura bana huwa zinaniacha hoi.
 
Mkuu paschal
Sisi watanzania tunataka kiongozi mwenye na Utu, Upendo, Kujali na Kuthamini jamii
Hizo dini na madhehebu sio hitaji letu kabisa.
Maana MUNGU hakai kwenye dini ila anaishi kwa wale Wamchao.
 
C
 

Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    52.5 KB · Views: 9
Nenda kasome tena chekechea,hujui lolote wewe,
 
Nenda kasome tena chekechea,hujui lolote wewe,
 
Daah kama Philipo atakuwa namba moja upinzani au jeshi wajiandae kuchukua nchi!😂🤣😂🤣
 
Huo ni ubaguzi tuliorithishwa ili uwe Rais wa TZ lazima uwe mkatoliki usitoke kwenye kabila kubwa
 
Asante kwa taarifa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…