Kijana kuna MUNGU na miungu. Mungu HALAL ni wa KIKRISTO. Period. Wengine wote ni Miungu. Ndio maana wale jamaa wanalia kila siku kuwa Tanzania ina fuata mfumo KRISTO.Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Mungu hana dini Pia.Ingawa CCM sasa hivi inayo dini, na kabila la kupiga marufuku..Ukisema Mchaga NI haramu, ukiwa Mkristu unachanganya ya kaisari na ya Mungu wla hurusiwi kuchinja.Mengine CCM wana upofu.Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
serikali haijui kuwa mungu yupo lete udhahidi kama kweli inajua! .Mbona katiba haisemi?!!!!!!
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
[/TR]
[TR]
[TD="width: 676, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
[/TD]Haki ya Uhuru wa Mawazo
[/TR]
[TR]
[TD="width: 187, bgcolor: transparent"]Uhuru wa mtu
kuamini dini
atakayo Sheria
ya 1984
Na.15 ib.6
Sheria ya 1992
Na.4 ib
[/TD]
[TD="width: 489, bgcolor: transparent"]19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani
na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu
kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya
Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na
shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya nchi.
(3) Kila palipotajwa neno "dini" katika ibara hii ifahamike
kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na
maneno mengineyo yanayofanana au kuambatana na neno hilo
nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
wapi neno mungu limetajwa?
Nikijua naongea na mtu mtimilifu; kumbe
Sababu wanaoimba wimbo huo na wanaoishi Nchi ya Tanzania ndiyo wenye dini,hivyo ni haki kumtaja Mungu wanayemuamini.Nadhani waislamu wanamini Mungu,wakristu vile vile na wapagani nao wanamaini miungu yao.Sioni kama kuna shida japo namna ya kuabudu na kuamini ni tofauti.
waislamu wanamuabudu Allah..wakristu YESU ...je tuweke yesu ibariki au allah ibariki?
jua linazama kwenye tope..
cc Mwana Mtoka Pabaya
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Wafanyabiashara ya kuuza watu kwa mwavuli wa dini? mtawala maana ake ni nini?higherlander sijapata kuona mtu upeo mdogo wa kiakil kama wewe, waarabu hawakuja tanganyika kama watawala hivo ni ngumu kujikita kujenga mashule kwan mtawala alikuwa hakubali ambaye ni mkolon mjeruman na aliyefuata baada yake, waarabu walikuwa wafanyabiashara na culture ya mfanyabiashara inafahamika hana malengo ya kuendeleza wateja. SHULE GANI UMESOMA INAYOFUNDISHA UJINGA!!!