Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Kijana kuna MUNGU na miungu. Mungu HALAL ni wa KIKRISTO. Period. Wengine wote ni Miungu. Ndio maana wale jamaa wanalia kila siku kuwa Tanzania ina fuata mfumo KRISTO.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Mungu hana dini Pia.Ingawa CCM sasa hivi inayo dini, na kabila la kupiga marufuku..Ukisema Mchaga NI haramu, ukiwa Mkristu unachanganya ya kaisari na ya Mungu wla hurusiwi kuchinja.Mengine CCM wana upofu.
 
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 676, bgcolor: transparent, colspan: 2"]
Haki ya Uhuru wa Mawazo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 187, bgcolor: transparent"]Uhuru wa mtu
kuamini dini
atakayo Sheria
ya 1984
Na.15 ib.6
Sheria ya 1992
Na.4 ib…

[/TD]
[TD="width: 489, bgcolor: transparent"]19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani
na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu
kubadilisha dini au imani yake.

(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya
Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na
shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya nchi.

(3) Kila palipotajwa neno "dini" katika ibara hii ifahamike
kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na
maneno mengineyo yanayofanana au kuambatana na neno hilo
nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

serikali haijui kuwa mungu yupo lete udhahidi kama kweli inajua! .Mbona katiba haisemi?!!!!!!
 
wapi neno mungu limetajwa?
 
Nikijua naongea na mtu mtimilifu; kumbe

Tatizo uelewa wa watu juu ya mambo ndiyo unakuwa mdogo. Jamani ipo tofauti kubwa kati ya Mungu na dini, dini ni za watu ila Mungu hana dini na anafanya hivyo kuhakikisha kila anayetenda kulingana na dhamira inavyomtuma awe wake, mnalazimisha ukristo na uislam this is the fallacy acheni hii mambo soma vizuri theology au ata falsafa juu kufikri kwa kina mtajua jinsi ya kutofautisha mambo.
 
Sababu wanaoimba wimbo huo na wanaoishi Nchi ya Tanzania ndiyo wenye dini,hivyo ni haki kumtaja Mungu wanayemuamini.Nadhani waislamu wanamini Mungu,wakristu vile vile na wapagani nao wanamaini miungu yao.Sioni kama kuna shida japo namna ya kuabudu na kuamini ni tofauti.

waislamu wanamuabudu Allah..wakristu YESU ...je tuweke yesu ibariki au allah ibariki?
 
waislamu wanamuabudu Allah..wakristu YESU ...je tuweke yesu ibariki au allah ibariki?

Unakosea WAKRISTU tunaamini kuwa YESU ni Mungu,hivyo basi ni sahihi kusema MUNGU IBARIKI.Umenipata?Vinginevyo tutafutane tueleweshane kwa nini tunaamini hivyo.
 
YESU alisema "mimi ni njia ya ukweli na uzima, hakuna atake ingia kwa baba bila kupitia mimi" pia akasema "hakuna mtakatifu zaidi ya baba wa mbinguni" kwanzia leo tambua kua ha2mwabudu YESU, 2namwabudu MUNGU, yesu ni njia 2
amen

.made in mby city.
 
If you hate God, find somewhere else to go. As long as you are in Tanzania there is God.
 
higherlander sijapata kuona mtu upeo mdogo wa kiakil kama wewe, waarabu hawakuja tanganyika kama watawala hivo ni ngumu kujikita kujenga mashule kwan mtawala alikuwa hakubali ambaye ni mkolon mjeruman na aliyefuata baada yake, waarabu walikuwa wafanyabiashara na culture ya mfanyabiashara inafahamika hana malengo ya kuendeleza wateja. SHULE GANI UMESOMA INAYOFUNDISHA UJINGA!!!
Wafanyabiashara ya kuuza watu kwa mwavuli wa dini? mtawala maana ake ni nini?
 
Kwanza ni jambo la kuiipongeza sana kwa serikali yetu ya Tanzania kutokuwa na sheria zozote za kidini zenye lengo la kutugawa watanzania na hatimaye kusababisha machafuko yasiyokuwa na maana,

Shukurani za dhati ziende kwa baba wa taifa Mwl. J.Nyenyere kwa uhodari na busara zake za kutuunganisha watanzania na kuwa kitu kimmoja na tukaondokana na maswala ya kikabila, kikanda, na kidini.

Kuna jambo moja ambalo serikali ya Tanzania sisi tulio na imani za kichawi haitutendei haki na inatunyanyasa sana.

Maana katika hafla na sherehe za kitaifa ambao huwaga wanaalikwa ni mapadri, wachungaji na mashehe, sijawahi kuona kiongozi wetu akialikwa. Naomba na sisi muutambue uwepo wetu.

Natumaini maombi yangu yatatekelezwa.
 
Wewe ni ke au me?
Una kiwango gani cha elimu?
Katika siku ya leo ulikosa cha kupost au ndo uelewa umefikia hapo?
 
Kwani si mnatambuliwa na kiongozi wenu ni KINGUNGE na STAHIKI Zote mnapata amma wewe HAWAKUJALI?
 
Back
Top Bottom