Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kunywa sumu pumbavu wewe na bado ata pale TRA tunaanzisha jimbo
 

Haya mambo ya udini ni magumu sana.

Mimi siku zote nasema lazima wawepo watu wa dini zote kwenye nafasi mbalimbali lakini kamwe haiwezi kuwa 50/50. Tukianza kusema wakuu wa mikoa tuwe na waislamu 13 na wakristo 13, mwishowe tutasema muislamu aongoze kwenye waislamu wengi na mkristo hivyo hivyo. Nini itakuwa hatma ya watu wa dini tofuati sehemu hizo?

Kwanza hao waislamu au wakristo wengi tunawapaje katika mikoa husika wakati sensa haiulizi dini ya mtu?

Kwangu la msingi dini zote ziwakilishwe lakini si 50/50 maana sifa za kazi husika ndiyo iwe kigezo. Kuna sehemu waislamu waislamu watakuwa wengi na kuna sehemu wakristo watakuwa wengi. Je kuna kiongozi anaonekana kupendelea watu wa dini yake kwenye kazi zake? Huyo ndiyo wa kumtumbua jipu.
 
Wanawake wameleta ujinsia imekubaliwa,hivyo sishangai na ukiletwa udini. Maana watu wamekubalia kuwe na kuchaguliwa kwa jinsia ya mtu hata si ajabu pia akichaguliwa mtu kwa dini yake.
 
Wataisoma namba hawakuelewa nini maana yake? Hapo bado hadi watoe machozi
 
Hii serikali imejaa udini waislamu wanatengwa makusudi ksbisa..udini umetawala wagalatia wanajiona ndio wenye haki ya kupewa vyeo safari hii hatukubali..kama mbwai mbwai tu
 
Tukitoka kwenye udini tutahamia kwenye rangi,pua,ndevu,jinsia na .
Ndo hivyoo ndugu yanguu tutaanza ukabilaa, dhehebu, urefu, unene mpka itafkiaa kwa wale wapenzi wa jinsia moja nao watatka balance of power[emoji34]
 

Rais wangu Lowasa kwahiyo Magu hata akipendelea wakristo hainiumi maana sikumchagua. Hata jk alivyopendelea waislam haikuniuma pia maana sikumchagua Ila nyinyi inawauma kwasababu mlimpa kura zenu Magu ...poleni sana ndo kashawatumia hivyo kama toilet paper
 
Pia inaangaliwa elimu ya mtu! Usitegemee mtu mwenye elimu ya madrassa apewe ukuu wa mkoa
 
Fanya kazi kwa bidii,kuwa na elimu ya kutosha, kuwa muadilifu na uone kama hautapata nafasi. Unaleta habari za udini wakati kazi haujui .Kingine jiendelezeni kielemu,elimu iwe kipau mbele muone kama hamtateuliwa. Sasa jamii nyingi za imani yako zimekosa msukumo wa kutengeneza workforce,sasa hao viongozi watapatikanaje?
 
Bakwata walimsapoti
Na bado watapndolewa wavaa pedo wote
 
Nitaanza kumkamata mama yako,
Mijitu yenyewe hamjasoma mnabebwabebwa tu wakati wenzenu wanaangika kujenga shule hzo nyie mlikua mnaingia na midudu yenu sahz mnataka kujifanya wajuaje kisa mlibebwabebwa mtaisoma namba na safari hii kabla hatujaanza kazi asubuhi tunapiga sala fupi tunaingia mzigoni ndio ofisi nzima wagalatia sala kwanza kazi inafuata nyie kaendeleeni kupunga pepo. Shwaini ww
 
sasa kama haina dini kwa nini wabunge wanaapa kwa dini zao na spika wa bunge anaomba na kusali kabla ya kuanza bunge,dini maana yake ni kuamini Mungu kama yupo na anasaidia ukimuomba, acha ujinga hapo nisawa na kusema wewe ndie muajiri wa rais wakati upangii kazi
 
Magufuri si mdini kabisa. uteuzi wa wakuu wa mikoa 19 wakristu na 7 waislamu. wakati serikali iliyopita wakristu walikuwa 5 tu wakati wa uteuzi wa awali wa jk
Tusio na dini hatupaswi kuwa tz mana mnajiangalia nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…