Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Haaaa,, eti Rais magifuli,, alafu wanataka wao ndo wawe wengi kuandika tu shida,, kwanza wao huko si uchaguzi wa Rais wao ulifutwa huyu ,,magifuli,, wanahusu nini huko,, wao wana wimbo wao wa taifa lao, wanakatiba ya taifa lao,, magifuli wa nn tena,,
String ruler kweli sis hatuna rais ,,magifuli,, labda huko kwao zanzibar.
 
Acha kutishia nyau wewe, km unapatamani west africa nenda hukohuko
 
Enzi za madrasat ofisi za serikali yalishapita subiri 2025.
Kweli kabisa na ndio maana Prof Muhongo alituma sms kuagiza kufungukiwa flow meter mara moja na kuvujisha ziara ya kustukiza ya PM lakini hajafanywa lolote.Wakati wenu huu
 

Kwani ni waislamu tu hawana kazi? Mbona wakristu kibao wapo mitaani huku wakiwa na elimu tena nzuri tu?
 
Ndugu unataka kutuaminisha kuwa tusio na kazi wote ni kwasababu ya uislamu wetu?
Aaaghh
Ngoja nifanye uchunguzi sasa.
Lakini shida ipo ikiwa mtu anajiaminisha kuwa kakosa kazi kwasababu ya dini yake. Basi tuendeni misikinitini na makanisani.
 
Kwani ni waislamu tu hawana kazi? Mbona wakristu kibao wapo mitaani huku wakiwa na elimu tena nzuri tu?
Kwa mtizamo wao hawapaswi kukaa mtaani kwa kukosa kazi ingawa sielewi kama miaka kumi iliyoisha wote walikuwa na ajira
 
Kuna mtu kamuuliza mtoa mada swali hapo juu sijui kama limejibiwa.. Huu mjadala unahusu Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ama Tanganyika pekee?
 
True hizi 50/50 zinabeba watu wasio na vigezo
 
Mleta Mada Ni Mpuuzi, Umejiuliza Zanzibar Kuna Waziri Mkristo Hata Mmoja? Kuna Sheha Mkristo Hata Mmoja? Wewe Ni Mjinga Sana.
 


kaaa ukijua unacho ongea ni kujipaka matope mwenyewe.
kachagua waislam wangapi au umeona ya wakuu wa mikoa tuu
na katika ile list ya wakwepa ushuru pale bandarini majini asilimia 98% ni nyie waislam
sema huko kote hauoni upo bize na ishu ya wakuu wa mikoa.
kaa ukijua hapa ni kupiga kazi dini unazicha nyumbani kwako.

ukiwa na akili kubwa utaelewa hizi sio zama za kubebana ni zama za kazi
 
Mkiristo gani wewe mbwa koko tu, tangu lini mkiristo aligawe taifa?
Haya matusi ndio anayowafundisha Gwajima? Sisi wakristo wa ukweli tunaopenda umoja wa kitaifa tunaunga mkono fursa sawa kwa wote kisiasa. Nyie wakristo wafuasi wa watu endeleeni kutoka povu na jazba
 
Mkuu mwelekeo unapotea vipi kwa kuamua kutambua uwepo wa makundi mbalimbali katika jamii na kufanya jitihada kuhakikisha hakuna anayeona anaonewa na mahitaji ya kila kundi kufanyiwa kazi kwa namna inayowezekana?! Huoni kwamba kufukia vichwa vyetu mchangani na kujifanya hatulioni hili ndiyo kujichimbia kaburi wenyewe?! Mimi nina imani tukiamua kama jamii kusema jamani eeh hapa nchini tuko makundi kadhaa na katika utawala ni vizuri tukatoa nafasi kwe uwiano mzuri kwa kila kundi ili twende mbele, malalamiko ya migawanyiko yatapungua kwa kiasi kikubwa.

Ila inapotokea mtu analalamika kama hivi anaambiwa we mbulura nenda kule hatuangalii dini unafikiri ndiyo tatizo litaisha?
 
Tatizo hapa ni elimu sio udini..kiongozi anapokua dini yangu msaada wake ni upi?
 
Hakuna tatizo tunacho taka mjua pia waislam wanahaki na nchi yao
Sasa kwa nini hata kikwete alishindwa kuwajaza waislamu kwenye hizo sekta za serikali?
Nataka mulalamike kuwa kwa nini waktisto wengi ndio wanasoma injinia na md?
Unajua md ni nini?
 
Najua kwa hili nimwewagusa wengi na sina haja ya kuungwa mkono na mtu yyt nitasimamia ukweli kwa yyte ambae ameguswa na hili atanisamee lakini huo ndio ukweli tanzania kunaudini na teuzi zinapo fanyika hivi kwa ubaguzi huo ndio udini
Simamia ukweli huo na ukweli ni kwamba, wewe ndio una udini. Watu kama nyinyi ndio mtatupeleka pabaya kwa upotoshaji huu. Itabidi watu kama hawa wawajibishwe kwa kauli zisizo na tija.
 
Hii nchi licha ya katiba kukaa hayo ya udini uchama kwenye madaraka ya seeikar nk ila huwezi kuwa kiongozi ngeti kama mkuu wa taasisi ya umma mashirika ya umma hata ukuu wa idara bila kuwa na element za uchama na dini pia ipo ingawa inakua ngum kuprove maana michakato huwa inachakatwa na wao
 
Serikali haina dini bali inatambua kuwa MUNGU YUPO na watu wake wana dini. ndio mana ya mwimbo wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…