Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
Wewe ni ke au me?
Una kiwango gani cha elimu?
Katika siku ya leo ulikosa cha kupost au ndo uelewa umefikia hapo?
Mkuu kwani elimu hapa inahusikaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ke au me?
Una kiwango gani cha elimu?
Katika siku ya leo ulikosa cha kupost au ndo uelewa umefikia hapo?
Wewe ni ke au me?
Una kiwango gani cha elimu?
Katika siku ya leo ulikosa cha kupost au ndo uelewa umefikia hapo?
Kwanza ni jambo la kuiipongeza sana kwa selikari yetu ya tanzania kutokuwa na sheria zozote za kidini zenye lengo la kutungawa watanzania na hatimaye kusababisha machufuko yasiyokuwa na maana,
shukurani za dhati ziende kwa baba wa taifa Mwl.J.Nyenyere kwa uhodari na busara zake za kutuunganisha watanzania na kuwa kitu kimmoja na tukaondokana na maswala ya kikabila, kikanda, na kidini.
kuna jambo moja ambalo selikari ya tanzania sisi tulio na imani za kichawi haitutendei haki na inatunyanyasa sana,
maana katika hafura na sherehe za kitaifa ambao huwanga wanaalikwa ni mapadri,wachungaji na mashehe, sijawahi kuona kiongozi wetu akialikwa.
Naomba na sisi muutambue uwepo wetu
natumaini maombi yangu yatatekelenzwa
Kwani kiongozi wenu ni nani na anapatikana wapi? maana sisi hapa kurugenzi ya mawasiliano hatumfahamu..anaitwa nani? ..
utaratibu upi mnatumia kusali
Mkuu kwani elimu hapa inahusikaje??
Bush land weka picha yako tukutambue sisi wananchi ndio serikali tukishakutambua zitafuata sheria tuu ambazo zinatungwa na viongoziKwanza ni jambo la kuiipongeza sana kwa serikali yetu ya Tanzania kutokuwa na sheria zozote za kidini zenye lengo la kutugawa watanzania na hatimaye kusababisha machafuko yasiyokuwa na maana,
shukurani za dhati ziende kwa baba wa taifa Mwl. J.Nyenyere kwa uhodari na busara zake za kutuunganisha watanzania na kuwa kitu kimmoja na tukaondokana na maswala ya kikabila, kikanda, na kidini.
Kuna jambo moja ambalo serikali ya Tanzania sisi tulio na imani za kichawi haitutendei haki na inatunyanyasa sana.
Maana katika hafla na sherehe za kitaifa ambao huwaga wanaalikwa ni mapadri, wachungaji na mashehe, sijawahi kuona kiongozi wetu akialikwa. Naomba na sisi muutambue uwepo wetu.
Natumaini maombi yangu yatatekelezwa.
Tafadhari jibu swali kama lilivyoulizwa, acha mbwembwe. JF we dare to talk openlymkuu Super Handsome imani yetu ya kichawi imengawanyika kama ilivyo kwa imani za kikristu na kiislam.
na kila sehemu kuna uongozi wake, lakn mimi najua zaidi viongozi wa kanda ya ziwa.
jitahidi viongozi wenu tuwatambue coz hoja yako ina kitu