Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Ndo uhamasishe wenzako katiba ya ccm ikija mpige kura ya hapana na mlinde kura zenu na nyie maoni yenu yalichakachukuliwa na ccm?
 
Kwanza ni jambo la kuiipongeza sana kwa selikari yetu ya tanzania kutokuwa na sheria zozote za kidini zenye lengo la kutungawa watanzania na hatimaye kusababisha machufuko yasiyokuwa na maana,

shukurani za dhati ziende kwa baba wa taifa Mwl.J.Nyenyere kwa uhodari na busara zake za kutuunganisha watanzania na kuwa kitu kimmoja na tukaondokana na maswala ya kikabila, kikanda, na kidini.

kuna jambo moja ambalo selikari ya tanzania sisi tulio na imani za kichawi haitutendei haki na inatunyanyasa sana,

maana katika hafura na sherehe za kitaifa ambao huwanga wanaalikwa ni mapadri,wachungaji na mashehe, sijawahi kuona kiongozi wetu akialikwa.

Naomba na sisi muutambue uwepo wetu

natumaini maombi yangu yatatekelenzwa

Kwani kiongozi wenu ni nani na anapatikana wapi? maana sisi hapa kurugenzi ya mawasiliano hatumfahamu..anaitwa nani? ..
 
Kwani kiongozi wenu ni nani na anapatikana wapi? maana sisi hapa kurugenzi ya mawasiliano hatumfahamu..anaitwa nani? ..

mkuu Super Handsome imani yetu ya kichawi imengawanyika kama ilivyo kwa imani za kikristu na kiislam.

na kila sehemu kuna uongozi wake, lakn mimi najua zaidi viongozi wa kanda ya ziwa.
 
Last edited by a moderator:
Hugh bila shaka no Shy land kaja kivingine tena ..!
Kama namuonaa vile.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ni jambo la kuiipongeza sana kwa serikali yetu ya Tanzania kutokuwa na sheria zozote za kidini zenye lengo la kutugawa watanzania na hatimaye kusababisha machafuko yasiyokuwa na maana,

shukurani za dhati ziende kwa baba wa taifa Mwl. J.Nyenyere kwa uhodari na busara zake za kutuunganisha watanzania na kuwa kitu kimmoja na tukaondokana na maswala ya kikabila, kikanda, na kidini.

Kuna jambo moja ambalo serikali ya Tanzania sisi tulio na imani za kichawi haitutendei haki na inatunyanyasa sana.



Maana katika hafla na sherehe za kitaifa ambao huwaga wanaalikwa ni mapadri, wachungaji na mashehe, sijawahi kuona kiongozi wetu akialikwa. Naomba na sisi muutambue uwepo wetu.

Natumaini maombi yangu yatatekelezwa.
Bush land weka picha yako tukutambue sisi wananchi ndio serikali tukishakutambua zitafuata sheria tuu ambazo zinatungwa na viongozi
 
Jitahidi viongozi wenu tuwatambue coz hoja yako ina kitu
 
Back
Top Bottom