Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mrisho mpoto awa waziri wa utamaduniAisee kweli hata sisi Rastafarian hatuna mtu hata mmoja. Ina maana hakuna rasta msomi au??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrisho mpoto awa waziri wa utamaduniAisee kweli hata sisi Rastafarian hatuna mtu hata mmoja. Ina maana hakuna rasta msomi au??
Mburula wewe.Nilijua mtakuja kwa wingi hizo sera zenu na uongo wenu ulisha pitwa na wakati waislam wapo wengi na wanaelimu ya kutosha ila hawapewi nafac kama teuzi vigezo ni majina sawa john pita ndani saidi nje sawa
Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Waislam hawana vigezo ni vigezo gani mnavyo tumia ambavyo waislm hawana mtanaki tu kutumbuana majipuWewe mtoa mada ndo unaonekana ni mdini nambari moja. Na unataka kutuletea mada zako za udini ambazo hazina tija.
Ungekuwa na tija ya kulalamika kama tu hao waliochaguliwa hawana vigezo vya kupata nafasi hizo, lakini kama wana vigezo kwanini wasichaguliwe?Kilichozingatiwa ni utendaji kazi na sio swala la udini.
Labda utusaidie kutuainishia mkristo aliyechaguliwa ambaye kabebwa na dini lakini hana vigezo?!
Watanzania tuheshimuni sana hii amani yetu tuliyonayo. Tusiruhusu watu kama huyu mtoa mada kuchafua amani yetu.
Maendeleo gani hayo ambayo mmeshindwa kuyaleta toka mmechukua nchi hiiMburula wewe. Subiri upatiwe maendeleo.