Toa shahada km unaijua kwelikamanda ondoa upuuzi wa udini hapa. mimi ni mwislam lakini sijawahi kufikiri tambo hilo. wewe lazima utakuwa mdini tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa shahada km unaijua kwelikamanda ondoa upuuzi wa udini hapa. mimi ni mwislam lakini sijawahi kufikiri tambo hilo. wewe lazima utakuwa mdini tuu
Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Hivi muhimbili ratio ya madaktari waislamu kwa wasio waislamu ni 50/50? Wakati mwingine tuwe tunatumia akili. Mkristo akiwa waziri wakristo wenziye wananufaikaje? Sadaka zinapanda?
Hata sisi wa dini ya asili kabisa iliyokuwepo kabla ya hizi dini za kileo zilizoletwa kwa majahazi na sie mheshimiwa katutupa kabisa...Aisee kweli hata sisi Rastafarian hatuna mtu hata mmoja. Ina maana hakuna rasta msomi au??
Magifuli ndo nini?Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Zamani katika nchi ya Kusadikika watu waliwabishia sana masheikh wao kuhusu uwepo wa mfumo Kristo katika nchi hiyo, lakini sasa kwa haya wanayoyaona itabidi wakawaombe msamaha!.
Ukiachilia mbali teuzi za mawaziri, Makatibu wakuu and then Wakuu wa mikoa wa nchi hiyo
Chukulia mfano mdogo tu, Katika Kisiwa cha " Minazi, marashi na karufuu", kuna Waislamu asilimia 99, leo mfalme wa Kusadikika kaenda Kuteua Naibu Gavana, katafutwa kutoka ndani ya wale asilimia 1 mpaka kapatikana. Then kweli utawaambia wasadikika kuwa hapa ni by chance au kuna dhamira fulani?
Si ulifungua uzi wewe juzi wanalia lia kuwa wafanyakazi wa RITA wameonewa.Mkuuu naona unafananisha.Rita na mimi tena wapi na wapi?
Huo ni uongo hata kikwete alijitahidi tu kufanya hivyo huu ni mfumo cristo toka enzi za nyerere na wala sio 50 50
M
Mfumo kristo ndio ukoje huo hebu tujuze mkuu,na kwanini unam judge mhe rais uteuzi wake kwa kupitia wakuu wa mikoa peke yake?tusiwe wepesi wakuamsha hizi hisia za udini jamani hazitotusaidia.
KWELI MKUU WAISLAMU WAKIWA WENGI KUNA UDINI..WAGALATIA WAKIWA WENGI HAKUNA UDINI HII SERIKALI YA MAGUFULI IMEJAA UDINI SANAWalikuwa wanamlalamikia dau. kuwa ni mdini kwakuwa tu NSSF kuna 40% ya waislamu na 60% wakiristo Hilo kwao tatizo,lakini kwa magufuli kuteua zaidi ya 80% wagalatia kwao ni fair ndugu zangu waiislamu tuachane na malumbano na hao watu tufanye yetu na tuzingatie Sana kitabu cha Allah yote yameandikwa.
serikali ya magufuli imejaa udini wa kutisha...mfumo kristo JK alijitahidi kuundoa, Magufuli anaurudisha taratibu... naona ana operation Ondoa waislam ingiza mkristo! ... alipokuwa akitumbua wala rushwa na walipa kodi tulimuamini sana na naendelea kumuunga mkono 100% ... lakini hizi teuzi zake sasa hivi amezidi... nasubiri hao wakuu wa wilaya nadhani majina hajaletwa bado toka parokia... !
I`m really sure kama angekuwa na nguvu hadi zanzibar angerundika walewale tu ..
ni mdini kiasi kwamba ametufika hapa!!
awamu hii ya magufuli imejaa udiniTafakari,nchi hii haina udini ila nyie ni walalamishi sana awamu ya nne mlitikisa nchi sana kwa udini hata hivyo busara ya Wakristo imefanya tufike hapa tulipo
kweli mkuu sehemu waislamu wakiwa wengi kuna udini...wagalatia wakiwa wengi hakuna udini hii ajabu sanaMUUMBA ALIVYOTOA SIFA ZA MAKAFIRI AKASEMA HIVI ".....WANAPENDA SANA YALE YANAYOKUDHURUNI,HUDHIHIRIKA CHUKI ZAO KUTOKA KATIKA MIDOMO YAO, NA YANAYOFICHWA NA VIFUA VYAO NI MAKUBWA ZAIDI..." SURA YA 3 AYA YA 119 QUR AN.
Makafiri miongoni mwa sifa zao ni hy hapo juu so, never ever expect anything good from them, tazama hata hoja zao jinsi walivyo doublestandard, pale jambo hilo hilo wanalolikemea kwa jk lilikuwa ni kosa lkn kwa jpm ni sawa tu, wht a poor and selfish arguments??!!