matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi.
Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za sehemu mchanganyiko hajui kusovu.
Unadhani nini madhara ya kulazimisha watoto wapate A katika maendeleo ya elumu yetu?