matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Maana ya shule ya msingi inakufa kwa kasi.[emoji23][emoji23] shule zimekua kama biashara watoto weng shule za private Wana karirishwa...tu..hakuna jipya..
Noma sana.Jiulize pia kwenye interview juz Kati hapa waliitwa watu zaidi ya 700 TRA wanahitaji watu 15. Watachaguliwa wale waliopata marks za juu za interview.
Madogo kuanzia Chini wazoee Msoto.
Tulia Akson alisema kama wanafunzi wote watafaulu ni nani atafanya kazi za hovyohovyo? Huwa sielewi kauli yake hiyo ililenga nini!!!Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi.
Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za sehemu mchanganyiko hajui kusovu.
Unadhani nini madhara ya kulazimisha watoto wapate A katika maendeleo ya elumu yetu?
Ndio maana nimeanzisha back to Kayumba campaign[emoji23][emoji23] shule zimekua kama biashara watoto weng shule za private Wana karirishwa...tu..hakuna jipya..
Mbaya sana mkuu elimu inapaswa kuwa hudumaTunatengeneza kizazi Cha majobless and incompetent working class kwa kufanya elimu kuwa biashara. Nchi za wenzetu elimu Bora ni basic need huku kwetu hata elimu wamekabidhiwa wafanya biashara.
Mnawalaumu Private kuandaa watoto kushindana kupata ufaulu mkubwa, wakati nyienyie mkishafika vyuo mnashindania GPA, hata viongozi ili kuwakosoa mnashinda mnatafutanmatokeo yao ya madarasani ili mpate hoja.Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi.
Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za sehemu mchanganyiko hajui kusovu.
Unadhani nini madhara ya kulazimisha watoto wapate A katika maendeleo ya elumu yetu?
Walioanzisha mfumo wa elimu duniani waliuweka uwe wa pyramid structure na sio kama sio cube.Tulia Akson alisema kama wanafunzi wote watafaulu ni nani atafanya kazi za hovyohovyo? Huwa sielewi kauli yake hiyo ililenga nini!!!
Ni hatari.Balaa zito. Kuna katoto kanasoma la saba. Kana A za kutosha.
Nilikauliza PI ni nini kwenye hesabu.
Naomba anifundishe nielewe kuhusu PI.
Alishindwa kunieleza. Sababu amekaririshwa
HahahahaMnawalaumu Private kuandaa watoto kushindana kupata ufaulu mkubwa, wakati nyienyie mkishafika vyuo mnashindania GPA, hata viongozi ili kuwakosoa mnashinda mnatafutanmatokeo yao ya madarasani ili mpate hoja.
Kama siyo nanilii, unadhani kinachopelekea hali hii kitakua ni kipi?
View attachment 2771431
Nasikia hii elimu ya mifumo hii ilibuniwa na matajiri ili wapate watu cream wa kuwafanyia kazi zao. Watu wa maana duniani hawafuati hii mifumo.Walioanzisha mfumo wa elimu duniani waliuweka uwe wa pyramid structure na sio kama sio cube.
Yaani wanaanza shule 1000000 wanaograduate level ya mwisho ni 1000.
Sio waanze 100000 na wamalize 1000000.
Na hiyo ndo nature
Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi.
Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za sehemu mchanganyiko hajui kusovu.
Unadhani nini madhara ya kulazimisha watoto wapate A katika maendeleo ya elumu yetu?
Kwani ni nini?Balaa zito. Kuna katoto kanasoma la saba. Kana A za kutosha.
Nilikauliza PI ni nini kwenye hesabu.
Naomba anifundishe nielewe kuhusu PI.
Alishindwa kunieleza. Sababu amekaririshwa
PI ni thamani ambayo haibadiliki na haitokuja kubadilika iliyogunduliwa na itumikayo katika mahesabu mbalimbaliKwani ni nini?