- Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo.
-DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote.
- Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine.
- DPW itaendesha bandari ya Dar tu na sio bandari zote kama IGA ilivyoeleza.
- TRA itakusanya mapato tofauti na hapo awali ambapo mapato yangekusanywa na Dubai.
- CAG atakagua hesabu tofauti na awali ambapo alikua haruhusiwi.
- Serikali itachukua 60% ya mapato ghafi na DPW 40% tofauti na awali ambapo ilikua siri.
- DPW itawekeza $250M kama amana ya kwanza kwa miaka mitano, tofauti na awali ambapo ilikua siri.
Marekebisho haya yasingefanyika kama wote tungekua makasuku wa kukubali kila kitu. Waraka wa TEC na sauti za wote waliopinga ndio zimefanya serikali ifyate mkia na kufanya marekebisho haya.