Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

Watu wanataka umaarufu w haraka haraka na WA Tanzania tulivyo rahisi kudanganywa tunaingia jumla.
Naona hata hili pia watu wamechotwa na wanashangilia wasichokijua kwamba eti kelele zimesidia wakati kika kitu kilielezwa kitakuwa ndani ya mikataba ya kibiahsara.
Wanajikosha wakijaribu kupunguza aibu.
 
Watu wanataka umaarufu w haraka haraka na WA Tanzania tulivyo rahisi kudanganywa tunaingia jumla.
Naona hata hili pia watu wamechotwa na wanashangilia wasichokijua kwamba eti kelele zimesidia wakati kika kitu kilielezwa kitakuwa ndani ya mikataba ya kibiahsara.
Wanatafuta pakutokea.
 
Rais Samia alisema maoni ya watu na taasisi mbalimbali yalizingatiwa baada ya kuwepo kwa malalamiko mengi sasa sijui kwanini unasema hakuna kilichobadilishwa. Na wewe mkataba ule ulivyokuwa (hata kama ulikuwa ni MoU yenye ujumla wa mambo ) ulikuwa sawa tu?!
Kusema maoni yamezingatiwa ni siasa tu ya jukwaani. Ukweli ni kwamba kila kitu kimefuata taratibu zilizotakiwa zifuatwe.

Wabongo tunapenda mno kupiga makelele kwenye vitu tusivyovijua vizuri. Kwa sababu tuna simu za viganjani na tukijisikia tu tunaandika maneno yanayosemwa na umma wote basi kila mtu anajiona tayari keshakuwa mwanasheria. Nchi imejaa wajinga sana hii.
 
Rais Samia alisema maoni ya watu na taasisi mbalimbali yalizingatiwa baada ya kuwepo kwa malalamiko mengi sasa sijui kwanini unasema hakuna kilichobadilishwa. Na wewe mkataba ule ulivyokuwa (hata kama ulikuwa ni MoU yenye ujumla wa mambo ) ulikuwa sawa tu?!
Ndio taratibu huo mkataba kuonekana kama haupo sawa. Wewe umeziona IGA ngapi mpaka uzijue kwa kina jinsi zilivyo?.
 
Back
Top Bottom