Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

Wanajikosha wakijaribu kupunguza aibu.
 
Wanatafuta pakutokea.
 
Kusema maoni yamezingatiwa ni siasa tu ya jukwaani. Ukweli ni kwamba kila kitu kimefuata taratibu zilizotakiwa zifuatwe.

Wabongo tunapenda mno kupiga makelele kwenye vitu tusivyovijua vizuri. Kwa sababu tuna simu za viganjani na tukijisikia tu tunaandika maneno yanayosemwa na umma wote basi kila mtu anajiona tayari keshakuwa mwanasheria. Nchi imejaa wajinga sana hii.
 
Ndio taratibu huo mkataba kuonekana kama haupo sawa. Wewe umeziona IGA ngapi mpaka uzijue kwa kina jinsi zilivyo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…