Wazee wa mgawoHivi utaahira mtaacha lini ninyi ng'ombe? Yanga kabebwa kwenye tukio gani Jana? Hivi lile goli la Makambo wangefunga mbumbumbu au Biashara likakataliwa si ungevaa boxer kichwani wewe taahira? Simba ina mashabiki viazi mbatata sana aisee
Aden Rage alimaliza kaziHivi utaahira mtaacha lini ninyi ng'ombe? Yanga kabebwa kwenye tukio gani Jana? Hivi lile goli la Makambo wangefunga mbumbumbu au Biashara likakataliwa si ungevaa boxer kichwani wewe taahira? Simba ina mashabiki viazi mbatata sana aisee
Kabisa aiseeAden Rage alimaliza kazi
mkuu ukiifatilia yanga utakufa kwa preshaMdhamini wa ligi hadi mnadhamini marefa?
Yule kocha Luc nae akashindilia zaidi " Mashabiki wa Yanga ni Manyani" Msukule ukamaliza ubishi kwa kusema "Usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK tu" Mliobaki hamnazo . Mnafanana na wafuga mbwa tu. Siyo maneno yangu , niya Luc na Manara.Aden Rage alimaliza kazi
Tukiachana na mechi ya Namungo ambayo ilikuwa dhahiri Yanga ilibebwa. Tuongelee mechi ya jana je wapi refarii aliwabeba Yanga? Je Moloko hakusukumwa? Vipi lile goli la tatu lililokataliwa ambapo baada ya Azam kufanya marudio kipa wa biashara hakuguswa na pia hata mpira wenyewe hakuukamataSimba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa.
Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa.
Ndo maana Simba ikaona ni upuuzi mdhamini wa ligi anashangilia timu.
Hongereni mwaka huu marefa lazima wawe matajiri.
Kapitie mechi za simba utaona hili unalosema kuwa hata simba inawahusu. Simba wakcheza faulo refa anapeta ila wakicheza timu pinzani ni faulo. Penati mmpewege nyie tu akipewa yanga kabebwa. Mtu kasukuma ili mtu asipige krosi wala hasiingie ndani ya sitaYule mwamuzi toka mpira unaanza alikuwa anawatafutia utopolo ushindi, mara faulu ila biashara wakichezewa wanapeta ni swala la muda mambo ya waamuzi kupigwa yatajirudia
Ahsante kwa jibu muruaYule kocha Luc nae akashindilia zaidi " Mashabiki wa Yanga ni Manyani" Msukule ukamaliza ubishi kwa kusema "Usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK tu" Mliobaki hamnazo . Mnafanana na wafuga mbwa tu. Siyo maneno yangu , niya Luc na Manara.
Zile free kick zote kwa Biashara ilikuwa za kuwatafutia Utopolo goli ,sema tu Biashara walikomaa mwanzo mwisho pamoja na Yanga kupewa fouls za mchongoYule mwamuzi toka mpira unaanza alikuwa anawatafutia utopolo ushindi, mara faulu ila biashara wakichezewa wanapeta ni swala la muda mambo ya waamuzi kupigwa yatajirudia