Kama si kubebwa Yanga hata nafasi ya 4 hawapati

Kama si kubebwa Yanga hata nafasi ya 4 hawapati

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Simba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa.

Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa.

Ndo maana Simba ikaona ni upuuzi mdhamini wa ligi anashangilia timu.

Hongereni mwaka huu marefa lazima wawe matajiri.
 
Hivi utaahira mtaacha lini ninyi ng'ombe? Yanga kabebwa kwenye tukio gani Jana? Hivi lile goli la Makambo wangefunga mbumbumbu au Biashara likakataliwa si ungevaa boxer kichwani wewe taahira? Simba ina mashabiki viazi mbatata sana aisee
 
Wazee wa mgawo
 
Yule mwamuzi toka mpira unaanza alikuwa anawatafutia utopolo ushindi, mara faulu ila biashara wakichezewa wanapeta ni swala la muda mambo ya waamuzi kupigwa yatajirudia
 
Simba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa.

Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa.

Ndo maana Simba ikaona ni upuuzi mdhamini wa ligi anashangilia timu.

Hongereni mwaka huu marefa lazima wawe matajiri.
Tukiachana na mechi ya Namungo ambayo ilikuwa dhahiri Yanga ilibebwa. Tuongelee mechi ya jana je wapi refarii aliwabeba Yanga? Je Moloko hakusukumwa? Vipi lile goli la tatu lililokataliwa ambapo baada ya Azam kufanya marudio kipa wa biashara hakuguswa na pia hata mpira wenyewe hakuukamata
 
Yule mwamuzi toka mpira unaanza alikuwa anawatafutia utopolo ushindi, mara faulu ila biashara wakichezewa wanapeta ni swala la muda mambo ya waamuzi kupigwa yatajirudia
Kapitie mechi za simba utaona hili unalosema kuwa hata simba inawahusu. Simba wakcheza faulo refa anapeta ila wakicheza timu pinzani ni faulo. Penati mmpewege nyie tu akipewa yanga kabebwa. Mtu kasukuma ili mtu asipige krosi wala hasiingie ndani ya sita
 
Mimi nikaiona tu Imefika dakika ya kuanzia ya 75. na Yanga ama inaongozwa au ina suluhu na hizo timu nyingine ukiondoa Simba.

Huwa nasubiri tu Penati kupewa Yanga Muda wowote.
Kuanzia muda huo Marefa wanaanza kuwataftia Yanga Penati.

Timu ndogo lazima zitambue zikicheza na Yanga ukifika dakika ya 75 zichukue tahadhari kubwa eneo la Penati.
 
Yule kocha Luc nae akashindilia zaidi " Mashabiki wa Yanga ni Manyani" Msukule ukamaliza ubishi kwa kusema "Usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK tu" Mliobaki hamnazo . Mnafanana na wafuga mbwa tu. Siyo maneno yangu , niya Luc na Manara.
Ahsante kwa jibu murua
 
Yule mwamuzi toka mpira unaanza alikuwa anawatafutia utopolo ushindi, mara faulu ila biashara wakichezewa wanapeta ni swala la muda mambo ya waamuzi kupigwa yatajirudia
Zile free kick zote kwa Biashara ilikuwa za kuwatafutia Utopolo goli ,sema tu Biashara walikomaa mwanzo mwisho pamoja na Yanga kupewa fouls za mchongo
 
Back
Top Bottom