Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Ndugu wana jamvi,
Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe?
Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje?
Naombeni sana nipate mawazo yenu na pia naomba kumjua mhariri wa hili gazeti angalau nikimuona niweze hata kuongea naye mawili matatu kujua alitaka kuleta ujumbe gani kwa jamii.
Nawatakia mwisho mwema wa mwaka 2021.